popoma
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 2,378
- 3,363
Wewe unajielewaKwa nini umjibu mtu vibaya?? Ongea kwa step utaeleweka msimamo wako
Wewe unajielewaKwa nini umjibu mtu vibaya?? Ongea kwa step utaeleweka msimamo wako
Zinachoshaje?Tongozo zingine za kifwara fwara, zinachosha tu
Kuna mamdogo yangu alikuwaga aninisimulia mtongozo mmoja balaa aliokutana nao kutoka kwa kijana mmoja mission town jamaa anamwambia mamdogo sister nimekuelewa afu nipende Mimi sababu Mimi ni msela mamd mwnyw mlokole akaona jamaa anamjoke kumbe jamaa ndo kushusha verse kamalizaTongozo zingine za kifwara fwara, zinachosha tu
mwingine anasema sasa nipe basi, umeninyima ndo kamaliza hivo sasa huu si ufwaraKuna mamdogo yangu alikuwaga aninisimulia mtongozo mmoja balaa aliokutana nao kutoka kwa kijana mmoja mission town jamaa anamwambia mamdogo sister nimekuelewa afu nipende Mimi sababu Mimi ni msela mamd mwnyw mlokole akaona jamaa anamjoke kumbe jamaa ndo kushusha verse kamaliza
28+ hakiona hali inaenda kuwa teteWadada kuna umri Fulani wanakua wenyenyekevu hadi raha.
Ahahahahaha28+ hakiona hali inaenda kuwa tete
Mie kesho nakutongoza kwa heshima zote...I promiseNanyinyi muwe mnatongoza kwa heshima
Wana dharau sanaKuna tabia pindi mwanaume anapojaribu kuelezea hisia zake kwa mwanamke baadhi ya wanawake Huwa yanawatoka maneno ya dharau, kebehi, matus. Jaribu kutumia lugha ya kawaida tu kama ombi lake hulitaki.
Ila ukumbuke wewe Dada Shukuru Mungu usiku na mchana wewe unatongozwa.
Kuna wanawake wanahangaika usiku na mchana apate angalau salamu tu Kutoka kwa kaka zetu hawa Ila hapati.
Iko siku hii mitongozo utaikumbuka.
Hlo neno sijui tusi sijalipenda mimi mwanaume mkatoliki sio vizur usicheze na iman za watu [HASHTAG]#over[/HASHTAG]wakiyongozwa wanajishaua
wasipotongozwa wanaenda kwa waganga!mbuzi katoliki nyiie wanawake wa hivyo
my game,my rules
Nusu ya kumi la nneWadada kuna umri Fulani wanakua wenyenyekevu hadi raha.
Poleefor the first time me niliambiwa 'weeeee! tena ishia hapohapo kikaragosi wewe, mimi siyo malaya kama hao wengine!! hivi kwanza unanichukuliaje! mshenzi wewe! tena unikome'
nilikua mpole nikaondoka zangu, daaah ngoja niishie hapa kwanza maana nikikumbuka naumia sana!
wanawake mungu anawaona jamani🙁🙁