Mtoto wa kike ukitongozwa shukuru

Mtoto wa kike ukitongozwa shukuru

Na ukimuona dem unamsalimu tu analeta nyodo anajifanya hajasikia au anaitikia kama anajipi mdomoni ujue anataka atongozwe sema tu anajifanyisha aonekane mgumu au mstaarabu hivi, kumbe kimoyo moyo anashukuru mungu kimya kimya
 
Kuna tabia pindi mwanaume anapojaribu kuelezea hisia zake kwa mwanamke baadhi ya wanawake Huwa yanawatoka maneno ya dharau, kebehi, matus. Jaribu kutumia lugha ya kawaida tu kama ombi lake hulitaki.

Ila ukumbuke wewe Dada Shukuru Mungu usiku na mchana wewe unatongozwa.

Kuna wanawake wanahangaika usiku na mchana apate angalau salamu tu Kutoka kwa kaka zetu hawa Ila hapati.

Iko siku hii mitongozo utaikumbuka.
Sasa kwann waschana wengine wakitongozwa wanamaind na misonyo juu...???

Nahis hawajui kutongoza ni sanaa...sanaa tosha ya kupanga maneno,vitendo pia kusindikiza ayo maneno.

Nimefikiria mbali mnooooo

Melvine.!
 
Asante studio
 
Kama kuna kengine hivi juzi kati nimejaribu kutongoza ili nikasuze rungu, kwanza kabayaaa sura ya baba halafu kamekonda kama mabanzi ila majibu niliyopewa utafikiri nimemtongoza pryanka Chopra
 
Leo nimekubamba, kwanini kila comment yangu huwa unacheka? Tena huwa za zamani unafukuwa makaburi kwanini? PSL god naomba majibu haya...
Madam wangu Bantu Lady mi napenda sana kusoma maandiko ya watu wa JF hasa ya miaka ya nyuma huko mostly nikiwa bored au wakati nipo naperuzi JF hivyo ni kawaida yangu tu ku react kwenye comment za watu.

Personally napenda kucheka kwenye comment zako sababu

1. Kwanza we ni mwanaYanga mwenzangu 😊😊

2. Pili kuna thread ya wanawake wenye figure za kibantu nilisoma ukasema una shepu nzuri iliyopangika vizuri yenye mvuto (ugonjwa wangu) 😉☺️

Hivyo mi najisikia raha nikiona comment zako 😜😄😀🤗
 
Mimi mwenyewe nikasema hivyo? 🤣🤣🤣 watu wengine ndiyo walisema simimi kasome vizuri PSL bana. Ule uzi naupenda nimepumzika, nikiwa na muda tena nitarudi kule. Okay basi leo nimejua sababu. Nilikuwa nashangaa tu. Basi poa tuko pamoja PSL god
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom