Wgr30
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 1,770
- 2,388
Umenikumbusha mkuu juzi kati pale kituo cha police kirumba mwanza kuna jamaa alimuita mdada fulani, ewaaaa!! kilichomtokea mshikaji tena mbele ya watu ni hatari, yule mdada alitoa maneno machafu sana na makali kwa yule jamaa, kwa kumuangalia yule dada usingiweza kuamini kama angeweza kutukana kiasi kile.