kawaida yangu hii kila nikitoka kazini lazima nishushie safari mbili tu huku nikiwa jamii forum .mbona mapema sana mkuu?
Mwendelezo siuon skymbona tayari
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji12]Mtoto akiwa shabiki wa arsenal basi ujue lazima atakuwa mvumilivu na mwenye mapenzi ya dhati.
Aaah usiniambie na wewe ni arsenal!![emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji12]
Haaahaaahhaaa!!!aya bhnaWameshapata watoto mkuu, mwendelezo labda nikaweke CCTV camera ndani ya nyumba.