Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,232
- 757
Aisee ndugu hivi Arsenal wamekukosea nini!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijaelewa mengi
Ila nimeona baba jon alikosea katika malezi kwani alimfanya mtoto wake ashabikie Arsenal, hapo alikuwa ana mfundisha vibaya mtoto.
Halafu jon alimaliza form 4 mwaka gani!? Nataka niangalie kama kweli alitoka kwa news paper