Lini utawacha uongo!?oooppss i really love when people know about me...lakini kuwaambia ukweli kidogo msije kushangaam soloon nitumiayo ni kuonyesha matangazo yake ya harusi kuhusu mambo ya makeup na hijab ni ya ukhty wangu sasa huwa mimi ndio sana namsuport japo ninia kazi yangu na nnafamilly yangu ni kiasi cha kumpa suport tuu picha hizi ni almost one year tena tangu nilipopiga i really like it...:msela:
Lini utawacha uongo!?
oooppss i really love when people know about me...lakini kuwaambia ukweli kidogo msije kushangaam soloon nitumiayo ni kuonyesha matangazo yake ya harusi kuhusu mambo ya makeup na hijab ni ya ukhty wangu sasa huwa mimi ndio sana namsuport japo ninia kazi yangu na nnafamilly yangu ni kiasi cha kumpa suport tuu picha hizi ni almost one year tena tangu nilipopiga i really like it...:msela:
Wishful thinking! Hakuna kitu hapa
nimekumbuka wosia wako mmoja hivi kwangu.....l.o.l
Mazee hebu uweke hapa labda nilikuwa "high"
nisiku trust hata wewe kwenye jinsia humu jf....huwenda ulikuwa ''maji ya vilima bugando''...l.o.l