hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,841
😛op2:
utatapika hizo bisi wewe...l.o.l
😛op2:
mkuu ondoka mbele unaniblock, naangalia hili movie starring Nilham .lolutatapika hizo bisi wewe...l.o.l
mkuu ondoka mbele unaniblock, naangalia hili movie starring Nilham .lol
usilihadisie litapungua uhondo, hapo mbele nazani starring ataonana na dada yake alozaliwa baada erenjd meriej na kubwa la maaduihili movie la kihindi starring anakufa kwenye maua mwanzo wa picha halafu anamalizia dogi kuwa steringi
usilihadisie litapungua uhondo, hapo mbele nazani starring ataonana na dada yake alozaliwa baada erenjd meriej na kubwa la maadui
niende wapi aisee. nje giza ndani mbu. hapa shwari tu, tunaangalia movie la Nilham, hof ni kwako tu miss JFHivi upo hbr za wknd
niende wapi aisee. nje giza ndani mbu. hapa shwari tu, tunaangalia movie la Nilham, hof ni kwako tu miss JF
hehehe hawalogi huko? mbona hii menu imekaa kimzizimkavu mzizimkavuMaskini weee karibu kwetu kuku kwa mrija wali kwa sindano :first:
Hili Movie Starring amevaa mask kila mtu hajui uzuri wake lakini kumbe ni mzuri kupita kiasi.., kwahiyo wote wanamwacha anabaki yule anayempenda zaidi kwa ajili ya tabia zake, mwisho wa movie starring anapovua mask jamaa hawezi kuamini bahati yake :first:hili movie la kihindi starring anakufa kwenye maua mwanzo wa picha halafu anamalizia dogi kuwa steringi
hehehe hawalogi huko? mbona hii menu imekaa kimzizimkavu mzizimkavu
Hili Movie Starring amevaa mask kila mtu hajui uzuri wake lakini kumbe ni mzuri kupita kiasi.., kwahiyo wote wanamwacha anabaki yule anayempenda zaidi kwa ajili ya tabia zake, mwisho wa movie starring anapovua mask jamaa hawezi kuamini bahati yake :first:
Acha uoga mtoto wa kiume
njoo upate raha!!
kwani mtoto wa kiume halogeki? acha nibebe helizi langu nikuje.
hehehe hapo red umentamanisha ujue. acha nijitangazie kifo halaf nije kuhamia huko.Hahah hahha safi sna wacha nami niandae nanihii :sick::sick:
hehehe hapo red umentamanisha ujue. acha nijitangazie kifo halaf nije kuhamia huko.
gaddemu! navaa bukta langu nakuja.Njoo haraka usongoje rambi rambi 😛eace:😛eace: unasubiriwa
Huyu ni muongo na humu kawapata kweli kweli.umejuaje anadanganya?unamjua?:twitch:
Huyu ni muongo na humu kawapata kweli kweli.
oooppss i really love when people know about me...lakini kuwaambia ukweli kidogo msije kushangaam soloon nitumiayo ni kuonyesha matangazo yake ya harusi kuhusu mambo ya makeup na hijab ni ya ukhty wangu sasa huwa mimi ndio sana namsuport japo ninia kazi yangu na nnafamilly yangu ni kiasi cha kumpa suport tuu picha hizi ni almost one year tena tangu nilipopiga i really like it...:msela:
kuna mama mmoja alikuwa akipenda sana kutoa usemi huu kwamba kuishi na watu kazi....kweli kazi maana sijailewa sababu ya kubishana iko wapi?? ukizangatia la kwanza wewe ni mwanamme imekuuuma nini hasa mpaka ukakasirika ukaanza kufatilia sasa kwa experiment ulioifanya ulijuaje kama ni uongo abuy.....hunijui kwetu?? hunijui mie ni nani?? sasa sawa fine nakudanganya wewe nisiekufahamu kwa faida gani hasaa??? hunipi kula hunivalishi??? sioni tatizo nililofanya hapa la muhimu kama kwakuwa hamnifaham na nimejitahid kujitambulisha lakini bado nashangaa mwanichokoa chokoa ukinawa sana mwisho hutoka na uchafu..... sasa be carefull....... na nisameh sana sana kama nitakuwa nilikuwa nikikuudhi abuy binaadam hakuna aliekamilika sote tuhalimoja na sote damu yetu nyekundu na alietuumba ni mmoja.... allah isalimki jamiya yaraab...
na nisameh sana sana kama nitakuwa nilikuwa nikikuudhi abuy binaadam hakuna aliekamilika sote tuhalimoja na sote damu yetu nyekundu na alietuumba ni mmoja.... allah isalimki jamiya yaraab...