Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 344
- 165
Habari za majukumu wapenda mwanangu anawiki tatu tangu azaliwe na leo ni siku ya tatu tokea aanze kutoka na tongotongo lilianza jicho moja leo yamekuwa yote mawili nimeenda hospital ya wilayani kwangu wamesemani hali tu ya kawaida yataisha tu.
Naheshimu taaluma yao ila kwa hili jibu sijawa na imani na hawa wataalam mwenye kujua chanzo cha tatizo na jinsi ya kutibia tatizo anisaidie maana na hofu sana juu ya afya ya mwanangu nilipo ni serengeti mkoa wa Mara.
Waungwana ushauri wenu na nini kifanyike ili kumaliza hili tatizo au mwenye kuwa na namba za wataalamu wa magonjwa kama haya na magonjwa yote ya watoto aweke hapa itakuwa msaada kwangu na kwa wengine wenye matatizo mbalimbali ya kiafya juu ya familia zao na watoto wao shukrani sana kwa wote watakao changia mada husika.