Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,643
- 188,934
Pole Sana Kwa Ndugu Na Jamaa Wote.
Mbona mi najifungiaga jamani na sipati tatizo loloteJust easy.
Ingia kwa gari, funga vioo kisha lock doors. Halafu sinzia. Ukiamka uje kutuelezea ndoto ulizokuwa unaziota
Mi najifungia daily na sipati tatizo lolote au inakuwaje?Nishafanya hivo mara kadhaa, parking za City Mall na Mikochen Plaza usiku. Wakat napiga mishe za Uber.
Tena huu mda ndo wa lunch time two hrs.....kama sijisikii kula najifungia na sipatwi na kituPakiwa na jua kali sio usiku, jaribu kati ya saa sita mpaka saa nane mchana
Kanisani wizi upo kidogo?Umakini unakosekana uyo mama alishindwa vipi kutokufunga nusu kuacha nafasi ilihali apo ni kanisani wizi upo kidogo sana,
AhaaahaahaaaMavuno ya tambiko la December
Inaitwa heat wave bro. Unapata heat stroke. Kaa kwenye gari ndani na kuna joto kali ndio utajuaCan you suffocate inside a car, no.
A car has got ventilation system.
Mama amechagua dini hajamchagua MunguFikiria mama alikuwa kanisani anasali atajiuliza Mbona Mungu hakunusuru balaa hilo lisitokee?
Mbona Mungu hakumstua mapema akawaangalie kabla hali haijawa mbaya ili walau wakaponee hospitali?
Iwapo atajiuliza hayo maswali ataumia sana kwa uchungu.
Mungu amfariji zaidi.
Hewa ilikuwepo tu.. Kilichowaua ni Heat Stroke sio Kukosa Hewa.Watoto wawili wamefia ndani ya gari (Nissan Double cabin) kwa kukosa hewa Kigamboni DSM baada ya kujifungia milango vioo vikiwa vimefungwa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro Jumanne amesema tukio ni la jana wakati Mama yao Neema Shayo (33) akiwa Kanisani.
View attachment 2076702
Mi najifungia daily na sipati tatizo lolote au inakuwaje?
Mpaka kamtuma kwny gari inamana alimpa funguo sa ikawaje waka ji lock inashangazaMuwe mnawafundisha hao wasichana jinsi ya Kufungua vioo na hata Kuwasha gari na kuwasha AC .
NI vitu vidogo Ila vina umuhimu huyo halikuwa hajalala Bali alizidiwa na kukosa Pumzi.
Wewe ni muongo!Hewa ilikuwepo tu.. Kilichowaua ni Heat Stroke sio Kukosa Hewa.
Mkuu si afadhali hayo yana uzungu kwa mbali mbona hata binti huyo mkuu kaandika bint? Yaani vurughu mwanzo liwe chapisho la ikulu, polisi au kwingine kokote as long as ni this regime ni lazima ukutane na mafyongo ya kufa mtu tena kwenye lugha yetu adhimu ambayo tuna hakimiliki nayo duniani.Hivi mtu anaweza kuandika DOUBLE halafu ashindwe kuandika CABIN badala yake aandike KEBEN?
Labda gari lilikuwa juani...but kwenye kivuli sidhanInaitwa heat wave bro. Unapata heat stroke. Kaa kwenye gari ndani na kuna joto kali ndio utajua
SawaUsje dhubutu kufungia na Wanangu , uwe unajifungia peke yako , sina mbegu za Watoto za kuchezea mie
Mkuu unamaanisha nini?Mama amechagua dini hajamchagua Mungu
Angekuwa amemchagua Mungu , angempa signal kuwa mlivyofungia watoto vile ni hatari
Nawashauri mumchague Mungu dini ni njia ya kuzimu tu
Anamaanisha kwamba...Mkuu unamaanisha nini?
Ukristo??Anamaanisha kwamba...
Huyo mama amechagua kuufuata Ukristo (kuingia kanisani).
Mbona sasa huo Ukristo haujamsaidia kuokoa watoto wake!
Mbona mi najifungiaga jamani na sipati tatizo lolote