mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Kwamba?Wachaga katika ubora wao
Inabidi tuwape tuzo mwaka huu.
Nyie ndio mnaosababisha tunawekewa tozo kwenye miamaraWachaga katika ubora wao
Inabidi tuwape tuzo mwaka huu.
Utajua hujuiCan you suffocate inside a car, no.
A cat has got ventilation system.
Just easy.Can you suffocate inside a car, no.
A cat has got ventilation system.
Nishafanya hivo mara kadhaa, parking za City Mall na Mikochen Plaza usiku. Wakat napiga mishe za Uber.Just easy.
Ingia kwa gari, funga vioo kisha lock doors. Halafu sinzia. Ukiamka uje kutuelezea ndoto ulizokuwa unaziota
Gari lako lilikuwa na tobo kwenye floor!Nishafanya hivo mara kadhaa, parking za City Mall na Mikochen Plaza usiku. Wakat napiga mishe za Uber.
Pakiwa na jua kali sio usiku, jaribu kati ya saa sita mpaka saa nane mchanaNishafanya hivo mara kadhaa, parking za City Mall na Mikochen Plaza usiku. Wakat napiga mishe za Uber.
Wahuni na waongo huzeeka piaNishafanya hivo mara kadhaa, parking za City Mall na Mikochen Plaza usiku. Wakat napiga mishe za Uber.
Mbona hamueleweki?Pakiwa na jua kali sio usiku, jaribu kati ya saa sita mpaka saa nane mchana