Mtoto atoroshwa ndani ya kikapu Muhimbili

Gharama za matibabu ziko juu Sana kwa sasa jambo linalopelekea watu kuuvaa ujasiri WA kutoroka hospital.
 
watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
Sishangai comment ya namna hii kutolewa na mwanamke!! Hongera
 
Jamani leo nimeumia sana ndani ya moyo wangu, kwa hili tuweke siasa pembeni kwanza. Ni hivi:

Leo majira ya jioni mimi na ndugu zangu tulienda hospitali ya Muhimbili kumuona mgonjwa, saa ya kuondoka tukapanda daladala ya Buguruni. Kwakuwa watu walikua ni wengi na daladala imeshajaa akaja mama mmoja na kikapu chake, kondakta akapokea kile kikapu yule mama kwa sauti ya upole akamwambia konda hicho kikapu nakuomba kiweke vizuri kina vitu vya kuvunjika.

Konda akajibu hakuna tatizo, lakini yule mama alionekana hana nguvu. Kuna jamaa akampisha akae kwenye siti alipokaa tu kwenye siti akaomba kikapu chake, mara akamtoa mtoto! Watu wote tukamshikia bango kwamba ameiba mtoto haiwezekani.

Yule mama akatujibu amefanyiwa operesheni na anadaiwa laki saba kwahiyo alichofanya ni kumuweka mtoto kwenye kikapu na 'kusepa' nae. Kuna wamama walisema aoneshe hiyo operesheni na akafanya hivyo. Kwakweli imeniuma sana, yule mama anatia huruma sana tumemchangia elf40 na ameshukia Buguruni malapa.

Kwa hyo Muhumbili hospitali waangalie, leo kuna mgonjwa katoroka na mtoto kwenye kapu lakini pia wekeni utaratibu mzuri wa kukagua vifurushi vinavyotoka hapo hospitali maana mtu anaweza kutoka na mtoto sio wake. Sisi tuliokuwepo kwenye daladala tulijiridhisha tu kwamba yule mtoto ni wake.

Najua kabisa hapa ni sehemu ya great thinkers na huwa mnahitaji evidence lakini nilishindwa kuchukua picha kutokana na hali ilivyokuwa. Ila hii ni serious ishu Muhimbili waangalie utaratibu wao.
Mama anaakili kubwa mno huyo....hongera zake....namtakia malezi mema!
 
Mmmh ...mnajuaje kama alijifunga miplasta kuwazuga?
Halafu na nyie mkamwongezea nauli ...naona saa hizi anapata supu pale mombo
 
Jamani leo nimeumia sana ndani ya moyo wangu, kwa hili tuweke siasa pembeni kwanza. Ni hivi:

Leo majira ya jioni mimi na ndugu zangu tulienda hospitali ya Muhimbili kumuona mgonjwa, saa ya kuondoka tukapanda daladala ya Buguruni. Kwakuwa watu walikua ni wengi na daladala imeshajaa akaja mama mmoja na kikapu chake, kondakta akapokea kile kikapu yule mama kwa sauti ya upole akamwambia konda hicho kikapu nakuomba kiweke vizuri kina vitu vya kuvunjika.

Konda akajibu hakuna tatizo, lakini yule mama alionekana hana nguvu. Kuna jamaa akampisha akae kwenye siti alipokaa tu kwenye siti akaomba kikapu chake, mara akamtoa mtoto! Watu wote tukamshikia bango kwamba ameiba mtoto haiwezekani.

Yule mama akatujibu amefanyiwa operesheni na anadaiwa laki saba kwahiyo alichofanya ni kumuweka mtoto kwenye kikapu na 'kusepa' nae. Kuna wamama walisema aoneshe hiyo operesheni na akafanya hivyo. Kwakweli imeniuma sana, yule mama anatia huruma sana tumemchangia elf40 na ameshukia Buguruni malapa.

Kwa hyo Muhumbili hospitali waangalie, leo kuna mgonjwa katoroka na mtoto kwenye kapu lakini pia wekeni utaratibu mzuri wa kukagua vifurushi vinavyotoka hapo hospitali maana mtu anaweza kutoka na mtoto sio wake. Sisi tuliokuwepo kwenye daladala tulijiridhisha tu kwamba yule mtoto ni wake.

Najua kabisa hapa ni sehemu ya great thinkers na huwa mnahitaji evidence lakini nilishindwa kuchukua picha kutokana na hali ilivyokuwa. Ila hii ni serious ishu Muhimbili waangalie utaratibu wao.
''Maisha haya''
 
Daaa kama movie vile,NANI KAMA MAMA,kama mtoto ni wake mungu ampe maisha mazur mtoto na mama ,nakumbuka Jamaa yangu alinyofoa drip akaondoka na sindano mkonon,issue ikawa kutoa sindano nilicheka sana haya mambo tuombe mungu atupe afya njema daima
 
Vitu kama hivi ndivyo vinavyoweza kupelekea Bw. Maxence siku moja aminywe kende na serikali na kushinikizwa atoe taarifa za members wa JF ili kuisaidia polisi.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
operesheni ndo dna? yaani wewe mtu mzima unazidiwa akili na kina mama?

mmh! mkuu..!

kwanii useme "..yaani wewe mtu mzima, unazidiwa akili na akina mama..!!" ?

naamini hata wewe ni mwanamke pia (kama sijakosea)
mbali na hilo, humu JF kuna watu wazima, hata mama zetu pia wapo..!, sidhani kama watapendezwa na kauli za namna hiyo. Zaidi ya hilo, hata sheria no. 1 na 2 za JF haziruhusu kauli ya namna hiyo kwa mjumbe wa JF hata kwa jamii kiujumla.

Hiyo kauli haijakaa vizuri kiukweli..
Kwa nia njema, naomba u-Edit hiyo post yako.
 
Operation ya uzazi laki saba??? Tena kwenye hosp ya serikali !!!
Tuendako twafa.
 
watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
jingalao wewe yaani hujazaa wewe hujui kitu
 
Huwezi elewa hadi yakukute.

watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
 
Hii ni mpya mm nilijifungulia muhimbili tena kwa operation na sikutozwa hata 100 sijui huo utaratibu wa wajawazito kulipa umeanza lini? Pia unapojifungua kwa operation Muhimbuli huwa kuna chumba maalum ambacho watoto huwekwa na huruhusiwi kuingia kama sio mzazi coz watoto kuna alama huwa wanavalishwa kwenye mikono yako inayoshabihiana ya mama mzazi wa Huyo mtoto kama sikosei na nipo tayari kusahihishwa mzazi anayetozwa gharama za operation ni yule from the beginning alikuwa na special doctor wake hapo ndio huwa wanatozwa gharama za operation so inawezekana huyo maza kaiba mtoto wa mwezie swali kamuiba katika mazingira gani coz kwa muhimbili walivyostrict na watoto wa operation nashindwa pata picha

Kwani hizo Muhimbili zipo ngapi?

My dear sijajua umejifungua lini ila mimi nilijifungua mwaka mmoja uliopita tulilipia kila kitu mpaka sindano za maumivu, nilishuhudia mtu ganzi imeisha mshono unamuuma wanamuambia dawa hakuna ikabidi nimlipie yule dada!!! Sasa bure hiyo ya wapi?? Kuhusu kule juu nakumbuka nilivyotoka kwenye chumba cha upasuaji nesi akaniambia mwangalie mtoto vizuri umkariri.....siku hiyo hiyo jioni mzazi akawa hamuoni mwanae nikaogopa mnoo kesho yake nikaongea vizuri na dr wakanipa chumba na mwanangu nilale nae. Kwa mazingira ya pale ukitaka kumuiba mtoto inawezekana kabisa!!!! Kwanza mkienda nyonyesha mnaeza msimkute nesi sasa hapo utashindwa chukua mtoto??
 
watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
Ungemsaidia kulipa 700000 labda!!!! Ni rahisi sana kuhukumu kwenye keyboard za simu yako.... Halijakukuta..... Mke wangu alipata shida maji yakaisha kwenye mji wa mimba akapelekwa fasta kupigwa operesheni.... Wakijua ni mgonjwa binafsi ile wanamaliza na mimi huku namalizia kujaza fomu za bima ya afya..... Ilikuwa ni shida... Wanataka pesa.... Na mimi nawapa form za bima...... Mara asitoke mpaka cash..... Walikubali mziki.... Tukaenda mpaka kwa dokta mfawidhi wa wilaya..... Hospital za Serikali ni shida sana
 
Huyo mama huenda kweli ni mtoto wake,lakini lawama lazima wapewe serikali kwasasabu laiti ingelikuwa matibabu ni bure kwa watu wote nadhani asingefanya ivyo uyo mama,lawama tuipe serikali laiti matibabu yangelikuwa bure uyo asingejificha,mfano mdogo kuna mtoto wa dada yangu alilazwa hapo Muhimbili mwishoni ikaja bili yakuwa anadaiwa shilingi laki tatu,basi akakaa hospitali wakati amesharuhusiwa mpaka deni lote lilipoisha ndipo aliporuhusiwa kutoka,nami ningeliweza kufanya ivyo ningefanya tu,Jamani mkumbuke maisha magumu uku mtaani iyo laki saba kuipata ni inshu mjue
 
Jamani leo nimeumia sana ndani ya moyo wangu, kwa hili tuweke siasa pembeni kwanza. Ni hivi:

Leo majira ya jioni mimi na ndugu zangu tulienda hospitali ya Muhimbili kumuona mgonjwa, saa ya kuondoka tukapanda daladala ya Buguruni. Kwakuwa watu walikua ni wengi na daladala imeshajaa akaja mama mmoja na kikapu chake, kondakta akapokea kile kikapu yule mama kwa sauti ya upole akamwambia konda hicho kikapu nakuomba kiweke vizuri kina vitu vya kuvunjika.

Konda akajibu hakuna tatizo, lakini yule mama alionekana hana nguvu. Kuna jamaa akampisha akae kwenye siti alipokaa tu kwenye siti akaomba kikapu chake, mara akamtoa mtoto! Watu wote tukamshikia bango kwamba ameiba mtoto haiwezekani.

Yule mama akatujibu amefanyiwa operesheni na anadaiwa laki saba kwahiyo alichofanya ni kumuweka mtoto kwenye kikapu na 'kusepa' nae. Kuna wamama walisema aoneshe hiyo operesheni na akafanya hivyo. Kwakweli imeniuma sana, yule mama anatia huruma sana tumemchangia elf40 na ameshukia Buguruni malapa.

Kwa hyo Muhumbili hospitali waangalie, leo kuna mgonjwa katoroka na mtoto kwenye kapu lakini pia wekeni utaratibu mzuri wa kukagua vifurushi vinavyotoka hapo hospitali maana mtu anaweza kutoka na mtoto sio wake. Sisi tuliokuwepo kwenye daladala tulijiridhisha tu kwamba yule mtoto ni wake.

Najua kabisa hapa ni sehemu ya great thinkers na huwa mnahitaji evidence lakini nilishindwa kuchukua picha kutokana na hali ilivyokuwa. Ila hii ni serious ishu Muhimbili waangalie utaratibu wao.
Mimi ninachoomba ni serikali ya makufuri iache kuwakandamiza wanyonge kwa kuwalipisha pesa nyingi kiasi hicho huku wakijua kwamba mama wajawazito wanatakiwa kujifungua BURE. CCM acheni hizo....Mungu anawaona.
 
daah km namuona huyo mama! operation isikie kwa mtu inauma sana sana...na gharama kwa kweli ziko juu mno hasa operation! kcmc operation ya kutoa mtoto ni laki sita! jumlisha kitanda elfu 10 kwa siku! bado huduma za daktari kila anapikuona! jaman gharama ni kubwa sana!..Mungu awajaalie mliomchangia japo hatujui km mtoto wake kweli au kabeba wa mwenzie maana pia operation nyingi hufanywa kwa sababu flan za uzazi!...
 
Nchi imejaa wajinga na wapu.mbavu kupitiliza hii. Imagine basi zima hakuna hata mmoja mwenye busara na uwezo mdogo tu wa kuchanganua mambo...AT THE END...mnamchangia tena, terrible!!!
 
Hii ni mpya mm nilijifungulia muhimbili tena kwa operation na sikutozwa hata 100 sijui huo utaratibu wa wajawazito kulipa umeanza lini? Pia unapojifungua kwa operation Muhimbuli huwa kuna chumba maalum ambacho watoto huwekwa na huruhusiwi kuingia kama sio mzazi coz watoto kuna alama huwa wanavalishwa kwenye mikono yako inayoshabihiana ya mama mzazi wa Huyo mtoto kama sikosei na nipo tayari kusahihishwa mzazi anayetozwa gharama za operation ni yule from the beginning alikuwa na special doctor wake hapo ndio huwa wanatozwa gharama za operation so inawezekana huyo maza kaiba mtoto wa mwezie swali kamuiba katika mazingira gani coz kwa muhimbili walivyostrict na watoto wa operation nashindwa pata picha
Ulijifungua "bure" mwaka gani unique dada?

Mambo yamebadilika sana pale MNH, hasa ukienda kama private.
 
Back
Top Bottom