Bibi, uliwahi kusoma story ya suleman na makahaba wawili wanaogombea mtoto??? Kwa mujibu wa mleta mada huwezi kuhojiii. Hata Kama kafiwa na mtoto, wewe ungekubali kupelekwa polis na mshono??"watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
Acha ujinga basi!!!!watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
'JF Where we dare to talk open' kama kitu cha ukweli funguka tu hakuna dhambi kubwa kama kuficha ukweliVitu kama hivi ndivyo vinavyoweza kupelekea Bw. Maxence siku moja aminywe kende na serikali ili kushinikizwa atoe taarifa za members wa JF ili kuisaidia polisi.
umeona eeh halafu watu wanamuacha hivi hivi kwani angepelekwa polisi si angepata msaada tu jamani?Duh mkuu watoto wanaibiwa duh .. yawezekana mtu kabambikwa maiti huko
Kabisa angepata msaada hata me ningemchangia halafu laki saba alilala siku ngapi?umeona eeh halafu watu wanamuacha hivi hivi kwani angepelekwa polisi si angepata msaada tu jamani?
mwenzangu najua mji huu ulivo na fix ?Kabisa angepata msaada hata me ningemchangia halafu laki saba alilala siku ngapi?
Hiyo pesa kubwa sana mama aliyotaja any way sijuiAcha ujinga basi!!!!
Ulipie 7k kuongeza idadi ya watanzania?
Hivi wanavyosemaga uzazi ni bure kumbe hakuna kitu
Sure. Mtoa uzi jitahidi uwe na uwezo wa kufikiria nje ya box kwenye matukio kama hayo.watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
Me nahisi tofautimwenzangu najua mji huu ulivo na fix ?
Mkuu hivi unajua maana ya "k" kweli? Ulivyoandika 7k? K maana yake ni thousand, hapo maana yake ni 7 x 1000 = 7,000/= Nadhani wewe ulimaanisha 700, 000/= ambayo ingefaa iwe 700k.Acha ujinga basi!!!!
Ulipie 7k kuongeza idadi ya watanzania?
Katika hizo dhambi za kuficha ukweli himo hiyo ya kuficha ukweli juu ya huyo mama mtoro mliyemsaidia bila kufuata utaratibu sahihi na huku akiitia hasara hospitali kwa kutolipa deni?'JF Where we dare to talk open' kama kitu cha ukweli funguka tu hakuna dhambi kubwa kama kuficha ukweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu swissme kati ya watu ambao nimewaona hawaipendi ccm kutoka uvungu wa moyo wako basi ni wewe.....huyu mtoto akiwa mkubwa hataweza amini ccm kabisa .
swissme
K ni K bwanaMkuu hivi unajua maana ya "k" kweli? Ulivyoandika 7k? K maana yake ni thousand, hapo maana yake ni 7 x 1000 = 7,000/= Nadhani wewe ulimaanisha 700, 000/= ambayo ingefaa iwe 700k.
Wamesababisha maisha magumu.Teh teh sasa ccm hapa wamefanyaje