Mtoto atoroshwa ndani ya kikapu Muhimbili

watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
NENO. ...umeona mbali
 
Sijui ni wangapi huwa mnaenda Muhimbili na kujionea palivyo. Nitawapa scenarios 3 nilizoziona recently.

1. Nilimkuta kijana amepata ajali na amepona. Hana hata senti anadaiwa hela alipe na hapo alipo hana hata nauli ya kupanda daladala afike kwao. Nilimkuta katoroka asubuhi walinzi wakamkamata wakamrudisha wodini maana alikuwa na makovu usoni hivyo ni rahisi kumjua yeye ni mgonjwa. Anadaiwa elf 50, Hana ndugu wala nini. Nikasema nikirejea kumwangalia patient wangu mchana nitamlipia hiyo hela aruhusiwe. Mchana ule sikumkuta mgonjwa wangu na sikumuona ila namkumbuka mpaka leo.

2. Nimehudhuria ibada za Muhimbili pale kanisani. Wanakuja wagonjwa walioruhusiwa na hawana hela ya kulipia au hawana nauli ya kuondokea pale. Wengine hukaa zaidi ya week wakusibiria msaada au msamaha. Ni mateso. Wengine wanafiwa hawana hata hela ya sanda au jeneza, na bill juu unadaiwa. Sad.

3. Nimeenda kumuangalia mgonjwa mwingine. Pembeni ya mgonjwa wangu kuna mama anaongea kilugha alifanyiwa operation ila amepona. Namsikia ila hajui namsikia. Mwanaye anasema mama nauza ile pikipiki ila sipati mteja. Wanadaiwa 2m. Mama anamwambia wapigie basi fulani na fulani. Mama asubuhi hadi jioni asubuhi hadi jioni, pikipiki haitoki na hana hela ya kulipa bill.

Huyo mama aliyetorosha mtoto, kwanza hospitali imezembea sana. Pili huenda ikawa ni kweli mtoto ni wake.
ASANTE KWA KUNIFUNGULIA MAHALA PA KUPELEKA SADAKA YANGU. ..NITAKUWA NAWATAFUTA WATU WENYE SHIDA KAMA HIZO MAHOSPITAL. ..UBARIKIWE SANA
 
watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
Huo ndo mtihani...kidonda haikua uthibitisho pekee....anaweza kuwa ameiba pia..wakati wamemsaidia kuna mama analia mwanawe hamwoni.
 
Nijuavyo mimi Kila hospitali kubwa ina kitengo maalumu cha kushughulikia watu wasioweza kumudu gharama, wale wasio na jamaa.
 
Chagga, ajili ya mshono mama. Visu hivi madaktari vinawapatia ulaji sana na hawana huruma na mgonjwa linapopatikana suala la upasuaji.
Yani mkuu hapo wamemlipisha mara mbili zaidi ya bei .. wanatabia mbaya
 
Sijui ni wangapi huwa mnaenda Muhimbili na kujionea palivyo. Nitawapa scenarios 3 nilizoziona recently.

1. Nilimkuta kijana amepata ajali na amepona. Hana hata senti anadaiwa hela alipe na hapo alipo hana hata nauli ya kupanda daladala afike kwao. Nilimkuta katoroka asubuhi walinzi wakamkamata wakamrudisha wodini maana alikuwa na makovu usoni hivyo ni rahisi kumjua yeye ni mgonjwa. Anadaiwa elf 50, Hana ndugu wala nini. Nikasema nikirejea kumwangalia patient wangu mchana nitamlipia hiyo hela aruhusiwe. Mchana ule sikumkuta mgonjwa wangu na sikumuona ila namkumbuka mpaka leo.

2. Nimehudhuria ibada za Muhimbili pale kanisani. Wanakuja wagonjwa walioruhusiwa na hawana hela ya kulipia au hawana nauli ya kuondokea pale. Wengine hukaa zaidi ya week wakusibiria msaada au msamaha. Ni mateso. Wengine wanafiwa hawana hata hela ya sanda au jeneza, na bill juu unadaiwa. Sad.

3. Nimeenda kumuangalia mgonjwa mwingine. Pembeni ya mgonjwa wangu kuna mama anaongea kilugha alifanyiwa operation ila amepona. Namsikia ila hajui namsikia. Mwanaye anasema mama nauza ile pikipiki ila sipati mteja. Wanadaiwa 2m. Mama anamwambia wapigie basi fulani na fulani. Mama asubuhi hadi jioni asubuhi hadi jioni, pikipiki haitoki na hana hela ya kulipa bill.

Huyo mama aliyetorosha mtoto, kwanza hospitali imezembea sana. Pili huenda ikawa ni kweli mtoto ni wake.
Aisee muhimbili Billy za uzazi zimekuwa juu hivyo jamani? Inabidi wafuatiliwe kwa karibu kuna tatizo
 
kwani opereshen tu inatosha kujiridhisha huyo mtoto ni wake?msiwe wepesi kutoa toa pesa yaani huyo angepelekwa polic mengine baadae
 
watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
Kwanza nilitaka kusapoti walichofanya hao wadau....hii sms yako imenifikirisha sana kiasi kwamba sina comment...nipo kati
 
Hapa hatuwezi kuiweka siasa pembeni, ametorosha mtoto Kwa sababu hana pesa si ndiyo? Serikali ikowapi? Watu Kama hawa wanahitaji kusaidiwa ebo
Umeandika kwa kuhoji vizuri tatizo hilo neno ....ebo...limechafua sentesi ungebaki nalo kichwani kwako
 
Hii ni mpya mm nilijifungulia muhimbili tena kwa operation na sikutozwa hata 100 sijui huo utaratibu wa wajawazito kulipa umeanza lini? Pia unapojifungua kwa operation Muhimbuli huwa kuna chumba maalum ambacho watoto huwekwa na huruhusiwi kuingia kama sio mzazi coz watoto kuna alama huwa wanavalishwa kwenye mikono yako inayoshabihiana ya mama mzazi wa Huyo mtoto kama sikosei na nipo tayari kusahihishwa mzazi anayetozwa gharama za operation ni yule from the beginning alikuwa na special doctor wake hapo ndio huwa wanatozwa gharama za operation so inawezekana huyo maza kaiba mtoto wa mwezie swali kamuiba katika mazingira gani coz kwa muhimbili walivyostrict na watoto wa operation nashindwa pata picha
 
My dear sijajua umejifungua lini ila mimi nilijifungua mwaka mmoja uliopita tulilipia kila kitu mpaka sindano za maumivu, nilishuhudia mtu ganzi imeisha mshono unamuuma wanamuambia dawa hakuna ikabidi nimlipie yule dada!!! Sasa bure hiyo ya wapi?? Kuhusu kule juu nakumbuka nilivyotoka kwenye chumba cha upasuaji nesi akaniambia mwangalie mtoto vizuri umkariri.....siku hiyo hiyo jioni mzazi akawa hamuoni mwanae nikaogopa mnoo kesho yake nikaongea vizuri na dr wakanipa chumba na mwanangu nilale nae. Kwa mazingira ya pale ukitaka kumuiba mtoto inawezekana kabisa!!!! Kwanza mkienda nyonyesha mnaeza msimkute nesi sasa hapo utashindwa chukua mtoto??
 
Natamani huyo dogo aje awe kiongozi mkubwa nchi hii ili story yake ibadilishe hali ya maisha na mateso kwa wengine wasio na hatia kama yeye.
 
Mmh laki 7?? Labda siyo muhimbili hii ninayoijua mimi....nahisi dalili za kuibiwa mtoto wa mtu. Halafu huu utaratibu wa watoto kukaa tofauti na mama yake siupendi ndiyo unaleta yote haya
Hata mi naona aisee.... Maana hiyo laki 7 maybe fast track lakini huku kwenye Wards za kawaida I doubt inafika hiyo ... Ila pia daaa Inasikitisha sana maana kidonda ni kibichi anaweza kupata infection, Duuuuuh
 
watanzania ni wajinga sana .yaani situation kama hiyo mnamsaidia muhalifu? je kama kweli kajifungua mtoto wake kafariki akaiba wa mwenzake je? kwanini asingepelekwa polisi then apate msaada huko polisi? kwani polisi wangemrudisha muhimbili?
Police wasingemlipia hiyo pesa, amefanya ivyo kwa kukosa hiyo pesa na anamapenzi na mototo wake
 
Dah inahuzunisha sana.

Mungu amfungulie milango ya heri huyo mama na amjaalie mtoto wake aje kuwa mwema kwa mama yake na walimwengu.
Amiin.
Halafu unakuta lijitu linamdharau na kumtukana mama yake.., mitoto mingine sijui ikoje?
 
Back
Top Bottom