Mtoto aliyeokolewa kwenye ajali Z'bar

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki,ndio mipango ya mungu

Mungu(YEHOVA) hajaribiwi na uovu wala yeye hamjaribu mtu yeyote.(maandiko yanasema)
Watoto wachanga wasio na hatia kufa maji bila hata hatia ya dhambi, inaleta uchungu mkubwa kwa wazazi wao na jamii yao, je inaingia akilini kufikiri kwamba mungu mwenye upendo, anayetoa mambo mema kwa jamii ya wanadamu wayafurahie, anaweza kuwaua watoto wao katika hali ya kufa maji kama ilivyotokea kwenye spice islanders? Huyo si mungu muumbaji, ni mungu muuaji(shetani, ibilisi).
 
Yeye ndie aliyeumba heri na shari, na ndio maana Ayoub alijalibiwa kupimwa imani yake

Tafadhali chukua muda wako na usome utangulizi wa kitabu hicho cha Ayubu uone mazungumzo ya utangulizi wa masimulizi ya kisa cha Ayubu na wanawe na mali zake. Unaweza kuelewam ukweli wote.
Maandiko yanasema mungu(Yehova) hafurahii kifo cha mwanadamu, ila Shetani yeye ni muuaji tangu alipoanza.
 
Mwenyezi Mungu ashukuriwe.

Ila sijaelewa kitu kimoja, mbona watu wote hao wanamrudisha mtoto mmoja, sio wengine wangeendelea kuwatafuta wengine?

Huwajui wewe watanzania kutafuta ujiko wa umaarufu kupitia migongo ya waathirika (rejea: Milipuko ya mabomu, Mafuriko etc) , hapo wale wote wa ziada wanatafuta umaarufu bwana!!!
 
Back
Top Bottom