ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,650
Wakuu naitafuta ile thread ya mtoto aliyekaa kwenye sinia ya chakula. Anayekumbuka iliko tafadhali naitafuta kuna kitu nataka nifanye reference (marejeo) nimeitafuta sijaiona. Atakaye iona please naomba uni PM nayo, tafadhali nisaidieni jamani wana jf.
Asanteni
Asanteni