Mtoto aliyekaa kwenye sinia ya chakula!

Mtoto aliyekaa kwenye sinia ya chakula!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,655
Wakuu naitafuta ile thread ya mtoto aliyekaa kwenye sinia ya chakula. Anayekumbuka iliko tafadhali naitafuta kuna kitu nataka nifanye reference (marejeo) nimeitafuta sijaiona. Atakaye iona please naomba uni PM nayo, tafadhali nisaidieni jamani wana jf.

Asanteni
 
mkuu hata mimi nimeamua kwenda chimbo kuitafuta coz naona jamaa harudi.nipe kadhaa...mia
 
Kumbe hiyo refference aliyotaka kuifanya ndiyo hiyo? hihihiii
 
Back
Top Bottom