Mtoto ajirusha kutoka ghorofani

Mtoto ajirusha kutoka ghorofani

Huyo mtoto amepona watu walimdaka kwa chini, mzima wa afya na kisa chenyewe alikuwa juu na watoto wenzake na mama ake, watoto wote wakashuka mama ake akamfungia mlango eti kisa aligoma kushuka chin, dogo alipoona hivyo akatokea dirishan akijua eti angeshuka weee! Kilichotokea ndio hicho ulichokiona kwenye video ila dogo mzima hajavunjika hata kiungo na wakat anajirusha walijazana chin kumdaka kwahivyo yupo salama! Ila wanawake we acha tu maana mpaka leo bado namfikiria mama mtu n kwanini alifikiria kumfungia mtoto.
Hapo kuna shida kati ya huyo mama na huyo mtoto.
Kama kungekuwa na uwezekano ungefanyika uchunguzi wa kina na huyo mama angechukuliwa hatua kali za kisheria.
Lkn kwa nchi hii mchezo ndio umeishia hapo
 
Hawezi kuwa mzima,mbona inaonekana kuna mahali amejigonga, au mimi ndio sioni vizuri?
 
Aisee haya mbona ni maajabu mkuu, kwaio mama mtu amefanywa nini? mtoto anasemaje? je hayo makelele uyo mtoto hakuyaskia kua yanamkataza asifanye hivyo? kwa anavyoonekana ni wazi alikua anajua urefu uliopo na angeyahisi maumuvu hivyo ingekua nia njema isingewezekana yeye kulisogelea hata eneo hilo.

umesema ni mzima hajaumia, wakati kwenye video anaonekana akijipigiza kwenye moja ya kuta hapo kabla hajatua chini, je hakuumia hapa?

Mkuu kuna zaidi ya haya uliyoyasema, liko wazi hili tukio.
Nilikuwepo eneo la tukio alijigonga kwenye mguu lakin cha ajab alifika chini salama, ukwel ndo huo kwanza tulimwangalia mara mbili mbili tukawa hatuamin kilichotokea watu wakamkagua ikabidi apelekwe hospital na walipofika hospital ikaonekana ana maumiv mguu wa kushoto ila haujateguka wala kuvunjika kwahivyo mtoto n mzima wa afya
 
Hawezi kuwa mzima,mbona inaonekana kuna mahali amejigonga, au mimi ndio sioni vizuri?
Nilikuwepo eneo la tukio alijigonga kwenye mguu lakin cha ajab alifika chini salama, ukwel ndo huo kwanza tulimwangalia mara mbili mbili tukawa hatuamin kilichotokea watu wakamkagua ikabidi apelekwe hospital na walipofika hospital ikaonekana ana maumiv mguu wa kushoto ila haujateguka wala kuvunjika kwahivyo mtoto n mzima wa afya
 
Unadhani umri wa huyo mtoto anajua hata kifo ni nini?? yaani unaamini kabisa eti huyo mtoto ametaka kujiua? U're not serious aisee!!

hahahahaahaha asee, kwamba kifo ambacho kinatambuliwa mpaka na viumbe kama mbwa na paka why binadamu ashindwe in regardless of age, watoto wetu hawa wanajua mambo mengi sanaa na ni nature binadamu kuyajua mambo yote yamtishayo, mbali kua ktk dunia ambayo wanaona kila kitu kwenye video ila wanajua hivyo vitu sanaa sanaa, au ni mara ngapi umewai kukuta vitoto vya miaka mitatu minne vikifanya matusi?

kua makini mzee
 
Huyo mtoto amepona watu walimdaka kwa chini, mzima wa afya na kisa chenyewe alikuwa juu na watoto wenzake na mama ake, watoto wote wakashuka mama ake akamfungia mlango eti kisa aligoma kushuka chin, dogo alipoona hivyo akatokea dirishan akijua eti angeshuka weee! Kilichotokea ndio hicho ulichokiona kwenye video ila dogo mzima hajavunjika hata kiungo na wakat anajirusha walijazana chin kumdaka kwahivyo yupo salama! Ila wanawake we acha tu maana mpaka leo bado namfikiria mama mtu n kwanini alifikiria kumfungia mtoto.
Yaani kama mim ndiyo baba wa Huyo mtoto huyo wife ntamtandika hadi akili zake zikae sawa hawezi kufanya huo ujinga nimwangalie tu
 
Yule ni mama ake wa kambo ndo alimfungia mlango
 
Huyo mtoto amepona watu walimdaka kwa chini, mzima wa afya na kisa chenyewe alikuwa juu na watoto wenzake na mama ake, watoto wote wakashuka mama ake akamfungia mlango eti kisa aligoma kushuka chin, dogo alipoona hivyo akatokea dirishan akijua eti angeshuka weee! Kilichotokea ndio hicho ulichokiona kwenye video ila dogo mzima hajavunjika hata kiungo na wakat anajirusha walijazana chin kumdaka kwahivyo yupo salama! Ila wanawake we acha tu maana mpaka leo bado namfikiria mama mtu n kwanini alifikiria kumfungia mtoto.
Una uhakika ndicho kilichotokea kweli? Mzazi anamfungia mtoto darasani? Mhhhh
 
Duh hatare, sasa sababu ipi hasa imfanye huyo naye ajirushe mtoto wa umri huo stress za maisha anazitoa wapi jameni au tayari alikuwa na mimba kamuogopa magufuli....
Ila yote juu ya yote kama lengo lake ilikuwa kujiua bahati nzuri hajafa wacha tuendelee kuisoma wote namba ndani ya bongo yetu hii...
 
hahahahaahaha asee, kwamba kifo ambacho kinatambuliwa mpaka na viumbe kama mbwa na paka why binadamu ashindwe in regardless of age, watoto wetu hawa wanajua mambo mengi sanaa na ni nature binadamu kuyajua mambo yote yamtishayo, mbali kua ktk dunia ambayo wanaona kila kitu kwenye video ila wanajua hivyo vitu sanaa sanaa, au ni mara ngapi umewai kukuta vitoto vya miaka mitatu minne vikifanya matusi?

kua makini mzee
Huyo mtoto ni mdogo sana mpaka kufikiria ku commit suicide,akili yake haijakomaa kihivyo,

Hujawahi kuona mtoto anaona kitu cha hatari lakini anakisogelea?

Hujawahi kuona mtoto wa 3 to 4 years anakula kitu cha hatari kama vigae,wembe,wadudu,uchafu n.k bila kujua kua hivyo ni vitu vya hatari? Mtoto angekua anakijua kifo unadhani angefanya hivyo?

Hujawahi kuona mtoto wa miaka 4 kafiwa na wazazi wake na siku ya kilio yeye ndio kwanza anacheza tu na wenzake wala hajui kifo ni nini??

Jitafakari kijana acha majibu mepesi.
 
Uonavyo, unadhani uyo mtoto atakua na miaka mingapi? Ukimkadiria!
 
Acha upotoshaji, nlikuwa eneo LA tukio ni ktk mambo ya watoto alipanda ghorofani bahati mbaya akadondoka lakini hakuumia sana na ni mzima was afya , mtoto was miaka minne ajitose toka ghorofani kwa lipi analolifaham kuwa limemkwaza. Acheni uchochezi na kutoa taarifa kwa ushabiki , nyambafu
 
Back
Top Bottom