Hebu lete taarifa kamili mkuu mbona kama hujatulia.
Sasa tumeona tu anajirusha lkn hatujajua kama kafariki,kaumia au kaokolewa maana video haipo wazi vizuri.
Hebu tulia tuletee habari kamili.
Basi ngoja tusubiri mkuu maana tumezoea kuona watu wazima wakifanya hayo.Mkuu habari hii nimeweza kupata hii video tu ikionesha tukio lilivyokua, naamini JF ni kubwa kuna mtu atapatikana tu mwenye ukaribu na huyu mtoto na kutujuza kila kitu na kisha tuta update, swala hapo ni uhalisia watukio lenyewe kua kweli lipo.
CCM wabaya.huyu msukuma ndo
Kasababisha haya yote
Huyo mtoto amepona watu walimdaka kwa chini, mzima wa afya na kisa chenyewe alikuwa juu na watoto wenzake na mama ake, watoto wote wakashuka mama ake akamfungia mlango eti kisa aligoma kushuka chin, dogo alipoona hivyo akatokea dirishan akijua eti angeshuka weee! Kilichotokea ndio hicho ulichokiona kwenye video ila dogo mzima hajavunjika hata kiungo na wakat anajirusha walijazana chin kumdaka kwahivyo yupo salama! Ila wanawake we acha tu maana mpaka leo bado namfikiria mama mtu n kwanini alifikiria kumfungia mtoto.Katika hali ya kushangaza, mtoto mmoja ambae hakufahamika jina mara moja amejirusha toka ghorofa ya nne ya shule ya msingi Yemen iliyo karibu na chuo cha DUCE maeneo ya karibu na uwanja wa taifa.
Video hapa chini inaonesha tukio ilo lilivyokua.
Kwa mwenye taarifa zaidi dhidi ya hili tukio anaweza kutueleza huyu mtoto ni nani, na kisa cha kujiua ni kipi?
Huyo mtoto amepona watu walimdaka kwa chini, mzima wa afya na kisa chenyewe alikuwa juu na watoto wenzake na mama ake, watoto wote wakashuka mama ake akamfungia mlango eti kisa aligoma kushuka chin, dogo alipoona hivyo akatokea dirishan akijua eti angeshuka weee! Kilichotokea ndio hicho ulichokiona kwenye video ila dogo mzima hajavunjika hata kiungo na wakat anajirusha walijazana chin kumdaka kwahivyo yupo salama! Ila wanawake we acha tu maana mpaka leo bado namfikiria mama mtu n kwanini alifikiria kumfungia mtoto.
Basi ngoja tusubiri mkuu maana tumezoea kuona watu wazima wakifanya hayo.
Sasa kama mpaka watoto nao wameanza hapo kuna tatizo tena kubwa sana
Mbona hali inatisha..mmmh