Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Video camera kila mtu anayo kwenye simuSasa mchukua video alijua kuwa kuna hilo tukio au imekuwaje akaweza kuchukua video?!
Video camera kila mtu anayo kwenye simuSasa mchukua video alijua kuwa kuna hilo tukio au imekuwaje akaweza kuchukua video?!
Hilo nalitambua kama sio kulijua, ila nimejiuliza kuwa ni muda upi walijua kuwa sasa anajirusha na kujiandaa kuchukua video?!!!!Video camera kila mtu anayo kwenye simu
Watu wanasharp mind nduguHilo nalitambua kama sio kulijua, ila nimejiuliza kuwa ni muda upi walijua kuwa sasa anajirusha na kujiandaa kuchukua video?!!!!
Hebu lete taarifa kamili mkuu mbona kama hujatulia.
Sasa tumeona tu anajirusha lkn hatujajua kama kafariki,kaumia au kaokolewa maana video haipo wazi vizuri.
Hebu tulia tuletee habari kamili.
Hapo kwenye red unakubali kua "mtoto ana akili ndogo sanaa" halafu hapo hapo unamlaumu? Mbona hueleweki? Eti "hakuona ata kelele za watu hao chini" Hivi kelele huo zinaonwa au zinasikiwa?? Kelele unaweza kuziona au kuzisikia??!!Huyu mtoto ni bomu sanaa, ana akili ndogo sanaa yaan hakuona ata kelele za watu hao chini.
Bwihi [emoji16] [emoji16]Hapo kwenye red unakubali kua "mtoto ana akili ndogo sanaa" halafu hapo hapo unamlaumu? Mbona hueleweki? Eti "hakuona ata kelele za watu hao chini" Hivi kelele huo zinaonwa au zinasikiwa?? Kelele unaweza kuziona au kuzisikia??!!
Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo?Kuna dini zinafundisha namna ya kutoa roho kama nguzo yao kuu, hii ni hatari mno
Huwezi kuelewa mkuu, it takes time!Ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia hapo?
Hata mtoto wa miaka miwili atakuelewa tu kua kichwa chako kimetawaliwa na akili za chuki ya udini kwa hiyo comment yako #87 jitafakari upya and then chukua hatua.Huwezi kuelewa mkuu, it takes time!
Nimeandika na siyo lazima comment yangu ikufurahishe mkuuHata mtoto wa miaka miwili atakuelewa tu kua kichwa chako kimetawaliwa na akili za chuki ya udini kwa hiyo comment yako #87 jitafakari upya and then chukua hatua.
MTOTO wa shule ya DYCCC huko Chang'ombe jijini Dar es salaam ambaye jina lake halijafahimika kwa haraka,amejirusha kutoka ghorofa ya nne mpaka chini,imesemekana hivyo kama uonavyoona kwenye hii video, chanzo cha kujirusha kwake bado hakijajulikana .
TOA TAARIFA SAHIHI AMA USITOE ALIANGUKIA TAWI LA MTI MUNGU NI MWEMA KAOKOLEWA
Duh lazima tujifunze watoto wa siku hizi si kama wa zamaniHuyo mtoto amepona watu walimdaka kwa chini, mzima wa afya na kisa chenyewe alikuwa juu na watoto wenzake na mama ake, watoto wote wakashuka mama ake akamfungia mlango eti kisa aligoma kushuka chin, dogo alipoona hivyo akatokea dirishan akijua eti angeshuka weee! Kilichotokea ndio hicho ulichokiona kwenye video ila dogo mzima hajavunjika hata kiungo na wakat anajirusha walijazana chin kumdaka kwahivyo yupo salama! Ila wanawake we acha tu maana mpaka leo bado namfikiria mama mtu n kwanini alifikiria kumfungia mtoto.
aliona labda alijua wanamshangiliaHuyu mtoto ni bomu sanaa, ana akili ndogo sanaa yaan hakuona ata kelele za watu hao chini.
Mkiminywa ili mtoe ushahidi mnaanza kulalama. Acha kujenga matabaka katika jamii na Taifa kwa ujumla.Kuna dini zinafundisha namna ya kutoa roho kama nguzo yao kuu, hii ni hatari mno