Mtizamo wangu kuhusu Amplifaya ya Milard Ayo

Mtizamo wangu kuhusu Amplifaya ya Milard Ayo

Wabongo bhana!!

Kama hupendi maudhui ya kipindi, USIKISIKILIZE? mbona kuna sources kibao tu za hayo unayoyataka.
 
Haina ubishi kuwa amplifaya kimekuwa kipindi bora kwa sasa...watu wengi wameonyesha kukielewa. wasiwasi wangu mimi ni juu ya mwenendo wa mtangazaj wake milard ayo(mtangazaji wa radio anayependwa zaidi) siku hizi jamaa inambidi abadilike na aache kuzipa uhai(airtime) habari za maisha ya mastaa ...mfano mfupi week iliyopita alinishangaza pale alipoipa stori ya bodygud wa wema sepetu namba 1 Au pia mfano mwingine ni pale alipokuwa akizungumzia beef za kajala

kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguz ningetaman kumpa ushauri atoe stori nying kuhusu mabadiliko ambayo watanzania weng wanayataka na hasa kisiasa na apunguze kuzungumzia ishu za skendo (kick) za wasanii Ni hayo tu mwenye kuwa na uwezo wa kumfikishia na amfkishie

Tunafanya yote haya kwa ajili ya upendo

Hata ww unaweza kumfikishia mbona...
 
Back
Top Bottom