Mtizamo wangu kuhusu Amplifaya ya Milard Ayo

babjohn

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
112
Reaction score
16
Haina ubishi kuwa amplifaya kimekuwa kipindi bora kwa sasa...watu wengi wameonyesha kukielewa. wasiwasi wangu mimi ni juu ya mwenendo wa mtangazaj wake milard ayo(mtangazaji wa radio anayependwa zaidi) siku hizi jamaa inambidi abadilike na aache kuzipa uhai(airtime) habari za maisha ya mastaa ...mfano mfupi week iliyopita alinishangaza pale alipoipa stori ya bodygud wa wema sepetu namba 1 Au pia mfano mwingine ni pale alipokuwa akizungumzia beef za kajala

kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguz ningetaman kumpa ushauri atoe stori nying kuhusu mabadiliko ambayo watanzania weng wanayataka na hasa kisiasa na apunguze kuzungumzia ishu za skendo (kick) za wasanii Ni hayo tu mwenye kuwa na uwezo wa kumfikishia na amfkishie

Tunafanya yote haya kwa ajili ya upendo
 
Inategemea ww cyo kila sku uchaguz hapo anafanya ili awavute watu wa rika na fikira tofaut wamxkilize

Aiseh kama umeniwahi vile kusema nilichokitegemea. Jamaa anafanya kazi inayovutia rika zote na sioni kama ANAEGEMEA SANA kwenye hizo zinazoitwa za udaku. Amebalance taarifa zake na vyanzo sahihi vya habari na taarifa zake.
 
Ndo hvyo ilivyo mwana kwan kila.mtu anaanachokitaka na ndo maana jamaa anapenda kuwafikisha kwa mahitaji kila mmoja kwa wakat ss uchaguz tiuu wakat mda huu n waumbeya kah lazm umbea baadae uchaguz baadae mpira pia Mungu
 
Ukitaka Siasa Fungulia Jahazi,Ayoooo ni kipindi cha habari zilizotingisha kwa siku hiyo,Kama Body Guard wa Wema alileta Kiki kuliko Engineer manyanya basi Body atakuwa namba moja.
 
Akianza kuingiza mambo ya siasa hamchelei kumponda kua anapendelea magamba au UKAWA.
 
Haina ubishi kuwa amplifaya kimekuwa kipindi bora kwa sasa...watu wengi wameonyesha kukielewa. wasiwasi wangu mimi ni juu ya mwenendo wa mtangazaj wake milard ayo(mtangazaji wa radio anayependwa zaidi) siku hizi jamaa inambidi abadilike na aache kuzipa uhai(airtime) habari za maisha ya mastaa ...mfano mfupi week iliyopita alinishangaza pale alipoipa stori ya bodygud wa wema sepetu namba 1 Au pia mfano mwingine ni pale alipokuwa akizungumzia beef za kajala

kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguz ningetaman kumpa ushauri atoe stori nying kuhusu mabadiliko ambayo watanzania weng wanayataka na hasa kisiasa na apunguze kuzungumzia ishu za skendo (kick) za wasanii Ni hayo tu mwenye kuwa na uwezo wa kumfikishia na amfkishie

Tunafanya yote haya kwa ajili ya upendo

Wewe jamaa kama unataka mambo Serious sana uwe unaangalia DIRA YA DUNIA.. hapo hapakuhusu!!...wewe unataka kila mtu awaze uchaguzi???...Mirlad Ayo usichukue ushauri wa kizee wa huyu jamaa utaporomoka
 
Millard Ayo tuko naye humu JF anatumia ID isiyo verified amepata ushauri wako mleta mada.
 
Ukitaka Siasa Fungulia Jahazi,Ayoooo ni kipindi cha habari zilizotingisha kwa siku hiyo,Kama Body Guard wa Wema alileta Kiki kuliko Engineer manyanya basi Body atakuwa namba moja.

Mmmh Umeniwah Mkuu nlitaka Kumshauri icho
 
Hoja yangu hamjaielewa...ni kuwa aache kuzipa hbr za udaku mda mrefu namaanisha nini??azitoe km taarifa na sio kama stor yenye kuwa na mwendelezo na badala yake mda mrefu atupe ctor zenye mising ya kuleta maendeleo
 
Sasa kwa mfano tunapata faida gani kusikia mwendeleo wa kuhojiwa kwa kajala kwa week nzima??wakuu hamjaielewa hoja yangu
 
Anaangalia ile kitu watu wanapenda kusikia zaidi. Alafu anatupia na hizo unazosema wewe lakini siyo sana.
 
Nadhani lengo hapa ni kui-publish Amplifaya na Clouds.
 
amplifaya ni nyumba ya udaku na udaku ndio uliompa tuzo huyo kijana na kipindi chake pia so nakushangaaaaaaa sana hata yeye atakushangaa huku akicheka kwa nguvu, ukimwambia aweke siasa au apunguze udaku mtu wetu wa nguvu
 
siasa hazina mpango wowote ni uongo na majungu tu bora udaku tu wa mjini
 
Haina ubishi kuwa amplifaya kimekuwa kipindi bora kwa sasa...watu wengi wameonyesha kukielewa. wasiwasi wangu mimi ni juu ya mwenendo wa mtangazaj wake milard ayo(mtangazaji wa radio anayependwa zaidi) siku hizi jamaa inambidi abadilike na aache kuzipa uhai(airtime) habari za maisha ya mastaa ...mfano mfupi week iliyopita alinishangaza pale alipoipa stori ya bodygud wa wema sepetu namba 1 Au pia mfano mwingine ni pale alipokuwa akizungumzia beef za kajala

kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguz ningetaman kumpa ushauri atoe stori nying kuhusu mabadiliko ambayo watanzania weng wanayataka na hasa kisiasa na apunguze kuzungumzia ishu za skendo (kick) za wasanii Ni hayo tu mwenye kuwa na uwezo wa kumfikishia na amfkishie

Tunafanya yote haya kwa ajili ya upendo

Kwani Yeye Na Huyo Bodyguard Bwabwa(Mwendo) Wa Wema Wana Tofauti Gani? Wewe Unadhani Waliotaka Tuhalalishe Ushoga MAPOPOMA?
 
Wewe jamaa kama unataka mambo Serious sana uwe unaangalia DIRA YA DUNIA.. hapo hapakuhusu!!...wewe unataka kila mtu awaze uchaguzi???...Mirlad Ayo usichukue ushauri wa kizee wa huyu jamaa utaporomoka

hahaahah huyu jamaa bana
anataka hadi habari za michezo iwe ni UCHAGUZI TU
ina maana vipindi vyote vivunjwe
 
Kina sikilizwa na watu wa rika tofauti ndo maana khabari zinakuwa mchanyato.Aki base kwenye siasa wengine atawakosa.
 
siasa? kipindi kiatakufilia mbali, kimepata washabiki wengi sababu ya waTz wengi ni wadaku daku tuu. akianza kuongelea ishu serious watakuwa wanasikilza kipindi cha leo tena pekee
 
Back
Top Bottom