MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
<br />
<br />
penzi unapolilinda sana ni kama unalilazimisha.
Labda utuambie penzi linalindwa vipi kwa mtazamo wako? Vipi kama mapenzi kwa mwenzi wako kama yashaisha jitihada utakazofanya kurudisha (nafikiri ndio kulinda kwenyewe ulikomaanisha) huoni kama utakuwa unafanya kazi ya kulilazimisha?
Inawezekana hatujaelewa wote, huyu babu teamo atufafanulie vizuri.
Penzi lilioisha ngumu sana kulilinda labda uwe na mapanga<br />
<br />
penzi halilindwi wala halilazimishwi.
Tofauti ni pale unapolinda penzi ambalo lishaisha, hapo utakuwa unalilazimisha hulilindi.
Kumbe tulikuwa hatujaelewana.... hapo kwenye bold huko ni kuhangaika au ndo wajibu wako katika mapenzi???....... Kuna tofauti kubwa sana wa wajibu wako katika penzi na kulihangaikia penzi.... kuwa mwaminifu kwangu si kuhangaika MJ1, kama ilivyo kutonivunjia heshima, kunitii na kunijali.........Babu kama niliamini mwanzo kuwa ulinipenda na ukanioa kwa kuwa ulinipenda, mi jukumu langu kuhakikisha kuwa hujutii kunioa right?? nijitahidi niwe mwaminifu kwako, nisikuvunjie heshima kama mume wangu, nikupende, nikutii pale inavyoistahili yaani niwe mke mwema.....kiasi kwamba ukiamua kuua penzi lako kwangu itakuwa ni kwa tamaa zako tu na si kuwa eti nimeshindwa kulilinda penzi langu kwako!!
Na ndio maana ninasema utakuwa umejitahidi ingawaje haiguarantee kulilinda 100 percent! Na tunaposema kulilinda hatumaanishi kuzuia msichepuke NO coz hiyo ni nature yenu. Kulilinda ni kwa maana ya kuwa wewe ni mume wangu wa ndoa ninayeamini tutazikana, utachepuka but utarudi kunizika nikuzike!......... utarudi kwenye territory yako.
ndugu yangu ashadii........!
hiyo bolded tungeiacha tu manaake uzoefu wangu kwenye ndoa ni mdogo sana
kwenye hiyo blue naona tutatofautiana zana kwa kuwa tu mimi nina mtizamo tofauti sana tu....!yani unampenda mtu...anakuoa again humpendi tena...even worse ni kwamba you fall for another man...no no!ni udhaifu tu wa kibinadamu wa kushindwa kuyakabili mawimbi ya maisha (ukiwa ndani ya ndoa)
Kumbe tulikuwa hatujaelewana.... hapo kwenye bold huko ni kuhangaika au ndo wajibu katika mapenzi....... Kuna tofauti kubwa sana wa wajibu wako katika penzi na kulihangaikia penzi.... kuwa mwaminifu kwangu si kuhangaika MJ1, kama ilivyo kutonivunjia heshima, kunitii na kunijali.........
Sasa kama vyote hivyo unanifanyia kama wajibu wa kimapenzi na mimi sielewi somo, ndio mahangaiko hayo tumnayoyasema sasa... utaanza kwenda kuomba ushauri, utakuwa unalazimisha mambo hata kwa kujitesa, wengine kukimbilia mpaka kwa waganga......... Hoja hapa ndiyo hii kwamba huwezi hangaikia penzi pasipo na penzi na ukafanikiwa. Mapenzi yana mkondo wake na hayana formula.
Sawa nimekuelewa kulilinda sana ndio tofauti yenyewe ila dada jua penzi lina lindwa. Nimejaribu kumweleza Babu hapo just kuwa mwaminifu, jithamini, jiheshimu, palilia kuwa mke mwema kiasi kwamba kama mumeo atakuacha na kuhamisha penzi kabisa basi jua kuwa ni taa au karogwa. But mwanaume mwenye akili zake timamu, mwenye kuheshimu mamlaka ya MUNGU katu hawezihamisha penzi lake toka kwako. Na hiyo ndio maana halisi ya kulinda penzi lako si ulinde kwa mawivu na ukaguzi usio na msingi!
Kumbe tulikuwa hatujaelewana.... hapo kwenye bold huko ni kuhangaika au ndo wajibu wako katika mapenzi???....... Kuna tofauti kubwa sana wa wajibu wako katika penzi na kulihangaikia penzi.... kuwa mwaminifu kwangu si kuhangaika MJ1, kama ilivyo kutonivunjia heshima, kunitii na kunijali.........
Sasa kama vyote hivyo unanifanyia kama wajibu wa kimapenzi na mimi sielewi somo, ndio mahangaiko hayo tumnayoyasema sasa... utaanza kwenda kuomba ushauri, utakuwa unalazimisha mambo hata kwa kujitesa, wengine kukimbilia mpaka kwa waganga......... Hoja hapa ndiyo hii kwamba huwezi hangaikia penzi pasipo na penzi na ukafanikiwa. Mapenzi yana mkondo wake na hayana formula.
Teamo I am sorry to say kua hapo penye bolded uliposema tuache sababau huna uzoefu kwenye ndoa... ndio haswa ambapo pamenifanya nijibu hipo post hivo... for kama una uzoefu ni rahisi saana ikakupa picha ya hilo jibu in blue....
Naomba usichanganye yale ambayo naamini na yale nilozungumza katika hio post... katika jamii hatuishi in isolation.... for haya mambo tunaona... In most cases ile hali ya kusema unaishi na Mpenzi wako ambae ni mume ama mke jinsi mnavoishi ndani ya nyumba na ndoa hio ni mzungukuko na matter mnapendana vipi... kuna wale walojaliwa kupendana moja kwa moja bila matatizo yoyote.... Kuna wale ambao wana pita mno ups and downs... Ndoa inaenda vizuri alafu inafika mda ndoa inafaka katika "rut stage" Stage ambayo wanandoa wako soo indifferent to each other to the extent ni rahisi kuvutiwa na mtu wa nje... (ukirejea katika post yangu utakuta nimekwambia unatkuta saa ingine ni tamaa but mtu anachanganya na kushindw tofautisha akadhani ni Mapenzi.....) Hopefully umenipata....
Yep! Huo ni wajibu wake mama. Sasa asipofanya yeye, atafanya nani?......Isitoshe hata akapika chakula kisiwe kitamu, penzi bado liko palepale for sikumwoa ili nile chakula kizuri, hotelini si vimejaa?..... Na hivyo viwalo anavyoenda kununua, anavinunua peke yake? si wananunua na kuvaa wengi tu? Mbona sikuwachagua wao?......... Penzi liko moyoni........ hujawahi kuona wanaume wanatukanwa na wake zao na bado hawawaachi? Kuna wanawake wangapi wanapika kama wapishi wa magerezani na bado ndoa zinasonga mbele?Hivi mlishawahijiuliza mkeo anapokwenda kufanya shopping wakati anachagua nguo/kiastu/syle ya nywele/ perfume n.k huwa anawaza nini? Je ananunua ili akamkoge jirani, au? Anapoamua kukupikia chakula kizuri na kuhakikisha kuwa unakipenda huwa anafanya hayo kwa ajili ya nini? wajibu??!!
MJ1 nadhani bado hujaelewa pale tunaposema lets love lead the way, kama wewe moyo wako unakutuma kumnunulia mpenzi au kumfanyia kitu kizuri kwa kua unampenda thats the way it supposed to be, ila tunachosema hapa usifanye kitu kwa kua unataka mpenzi wako abadilike vile upendavyo wewe, na asipofanya basi wewe unaumuia roho. Kama wewe ukininunulia Nguo mie niakupeleka beach hayo ndio mapenzi, sio ukinunua na mimi ninunue, ukipeleka cinema na mimi nikupeleke. We fanya kile kitu roho yako inapenda na unapoona mpenzi wako hapendi kile ukifanyacho usilazimishe. hakuna formula hapaHivi mlishawahijiuliza mkeo anapokwenda kufanya shopping wakati anachagua nguo/kiastu/syle ya nywele/ perfume n.k huwa anawaza nini? Je ananunua ili akamkoge jirani, au? Anapoamua kukupikia chakula kizuri na kuhakikisha kuwa unakipenda huwa anafanya hayo kwa ajili ya nini? wajibu??!!
Shem, am worried ujue........
''KIONJO KIMOJA TU CHA ZIADA KUTAKA KULILINDA PENZI/KULINDA NDOA-kitakuumbua''
ahsanteni sana wakuu!
Thats my homeboy! Bingo!MJ1 nadhani bado hujaelewa pale tunaposema lets love lead the way, kama wewe moyo wako unakutuma kumnunulia mpenzi au kumfanyia kitu kizuri kwa kua unampenda thats the way it supposed to be, ila tunachosema hapa usifanye kitu kwa kua unataka mpenzi wako abadilike vile upendavyo wewe, na asipofanya basi wewe unaumuia roho. Kama wewe ukininunulia Nguo mie niakupeleka beach hayo ndio mapenzi, sio ukinunua na mimi ninunue, ukipeleka cinema na mimi nikupeleke. We fanya kile kitu roho yako inapenda na unapoona mpenzi wako hapendi kile ukifanyacho usilazimishe. hakuna formula hapa
MJ1 nadhani bado hujaelewa pale tunaposema lets love lead the way, kama wewe moyo wako unakutuma kumnunulia mpenzi au kumfanyia kitu kizuri kwa kua unampenda thats the way it supposed to be, ila tunachosema hapa usifanye kitu kwa kua unataka mpenzi wako abadilike vile upendavyo wewe, na asipofanya basi wewe unaumuia roho. Kama wewe ukininunulia Nguo mie niakupeleka beach hayo ndio mapenzi, sio ukinunua na mimi ninunue, ukipeleka cinema na mimi nikupeleke. We fanya kile kitu roho yako inapenda na unapoona mpenzi wako hapendi kile ukifanyacho usilazimishe. hakuna formula hapa
nimekuelewa vizuri sana...........!
hasa hapo kwenye bold hapo.
na ninavyowafahamu mimi wanawake wengi.....akifikia hiyo stage ya kuanza kupenda nje ya ndoa...aisee anakuwa amevumilia mambo mengi mno!
Mkuu kila kitu kinachofanyika sababu ya upendo ni kizuri na bila shaka kitaleta maendeleo…. Sasa basi ni vema kufanya kila kitu kulinda pendo/ndoa sababu bila upendo mtakapokuwa manaelekea siko kabisa…
Hivyo basi fanya kila uwezalo kulinda pendo/ndoa sababu hii ndio foundation na mengine yatakuwa mazuri tu..
Na jinsi ya kulinda pendo/ndoa ni kufanya yale yampendezayo mwenza wako na kufanya sacrifice za hapa na pale…, yaani ubaki kuwa yule mwenza wako aliyempenda na sio kubadilika na kuwa kituko….
"Love is the Act of endless Forgiveness" na kwa kusamehe na kuvumilia ndio tunalinda pendo ambalo litatulinda