Mtindo wanaotumia kikosi cha propaganda wa kutetea serikali za CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.

Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.

wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki au zao kabisa na n.k.

Mada inapo postiwa utaona sekunde mtu kakubari kusifia hata kama hiyo mada ni ndefu kama mkeka wa kubeti.

Wengine wamepewa kuangalia mada ambazo zitagusa mfupa wa serikali ya ccm kuzijibu haraka mfano weka mada itakayo fichua kisha angalia sekunde ni mashambulizi na wengine wana kuripoti ufungiwe au kufutwa haraka.

Mshaelewa hii ofisi ?.Sio mda mfupi hii mada watakuja haraka kuanza ajenda zao muone matokeo.

Angalia mfano hawa wamepishana dakika moja
Screenshot_20251213-080546.png
Screenshot_20251213-080558.png
 
Shida ya vijana hamuamini kuwa kuna mtu ana mawazo tofauti na yenu na mnadhani mnajua kila kitu.

Hamjui kwamba hamjui hivyo mnadhani mnajua (Dunning Krugers Syndrome). Huku kunawafanya mnashabikia falsafa mnazoona ni nzuri kwa nje kumbe ndani zimeoza
 
Hivi wana jamiiforum mjashtuka au mpaka tuwape code.

Ni hivi labda mtanielewa,kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.

wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki au zao kabisa na n.k.

Mada inapo postiwa utaona sekunde mtu kakubari kusifia hata kama hiyo mada ni ndefu kama mkeka wa kubeti.

Wengine wamepewa kuangalia mada ambazo zitagusa mfupa wa serikali ya ccm kuzijibu haraka mfano weka mada itakayo fichua kisha angalia sekunde ni mashambulizi na wengine wana kuripoti ufungiwe au kufutwa haraka.

Mshaelewa hii ofisi ?.Sio mda mfupi hii mada watakuja haraka kuanza ajenda zao muone matokeo.

Angalia mfano hawa wamepishana dakika moja View attachment 3514992View attachment 3514993
kwa kifupi tu gentlema,

Dr.Samia Suluhu Hassan atamaliza ngwe yake ya pili ya utawala wa Tanzania kwa mujibu wa katiba mnamo2030, na kisha Dr.Emmanuel John Nchimbi kuchukua kijiti2030-2040,

na kwa mara ya kwanza katika historia ya Taifa letu, waziri mkuu Dr. Mwigulu Nchemba atakua Rais wa Tanzania baada ya DR.Nchimbi na kuvunja rekodi ya mawaziri wakuu nchini kutokua marais ispokua J.K.Nyerere pekee.

Hii sio propaganda ni ukweli mtupu,
na ni utaratibu wa kawaida wa CCM kuandaa viongozi wa kitaifa na kimataifa kimkakati na kwa mustakabali wa umoja, amani na mshikamano wa Taifa letu.

Hakuna haja ya kubabaika na makhalakhancha mengine yanayotumiwa kama mercenaries na ma puppet uchwara.

huna haja ya kupoteza muda , CCM itatawala nchi hii mpaka ukamilifu wa dahari :putinWalk:
 
Shida ya vijana hamuamini kuwa kuna mtu ana mawazo tofauti na yenu na mnadhani mnajua kila kitu.

Hamjui kwamba hamjui hivyo mnadhani mnajua (Dunning Krugers Syndrome). Huku kunawafanya mnashabikia falsafa mnazoona ni nzuri kwa nje kumbe ndani zimeoza
huwa wanayaangalia mambo kwa ushabiki

hakika Gen Z watabakia kuwa Gen Z tu
 
Hivi wana Jamiiforums hamjashtuka au mpaka tuwape code.

Ni hivi labda mtanielewa, kwamba hawa watu wana magroup yao kama wanachama na viongozi wao.

wanajadiliana kisha kuna mmoja analeta wazo au mada inapigiwa chapuo kisha ina pelekwa mitandaoni ijalishi kama ana media,msanii, account zao feki au zao kabisa na n.k.

Mada inapo postiwa utaona sekunde mtu kakubari kusifia hata kama hiyo mada ni ndefu kama mkeka wa kubeti.

Wengine wamepewa kuangalia mada ambazo zitagusa mfupa wa serikali ya ccm kuzijibu haraka mfano weka mada itakayo fichua kisha angalia sekunde ni mashambulizi na wengine wana kuripoti ufungiwe au kufutwa haraka.

Mshaelewa hii ofisi ?.Sio mda mfupi hii mada watakuja haraka kuanza ajenda zao muone matokeo.

Angalia mfano hawa wamepishana dakika moja View attachment 3514992View attachment 3514993
Kumbe hili andazi Tlaatlaah kumbe bado lipo?
 
Back
Top Bottom