Mtindo wa kutunisha na kuacha sehemu ya MATITI wazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtindo wa kutunisha na kuacha sehemu ya MATITI wazi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mjanga, Aug 22, 2012.

 1. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kwa wale wadada wanaopenda kuacha sehemu ya matiti wazi baada ya kuyatunisha!

  leo ndani ya daladala moja ruti ya Kariakoo-Mwenge kupitia Sinza, napanda hili gari maeneo ya shekilango pale,
  mara anaingia mdada anakaa siti usawa wa mlango,ile siti ni ya watu wawili anaogopa kusogea ukutani kwa sababu anazojua yeye,
  mara anaingia mbibi mtu mzima yuko mlangoni anamwambia sogea tukae, binti anatoa miguu pembeni kama dalili ya kumpisha bibi apite akalie siti ya ukutani, cha ajabu bibi badala ya kupita anaanza kupapasa matiti ya huyu binti huku akisema "unafanya show ya matiti" actually yule binti anahamaki na kukasirika sana!

  swali je kutunisha matiti na kuacha sehemu ya juu wazi ni makosa?
  tukio kama hili linawezakuchukuliwa kama udhalilishaji?
  au huyu bibi alikuwa na mambo yake?
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Anyway itabidi tumuulize huyu bibi!
   
 3. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  shida ni pa kumpatia! ila alishukia maeneo ya kwa Remmy pale!

   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  nadhani huyo bibi alikua ana yake tu...
   
 5. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kwa mtazamo wangu Bibi hakuwa na nia mbaya zaidi ya kumuonya binti kwa tabia ya kuacha nyonyo wazi.

  Hapo kama huyo binti aliamua kwa dhat kuanika nyonyo sasa alihamaki nini??

  Si ameamua kuuza manyonyo ili wateja waone wachague kama wameridhika nayo!!!!!!!

  Mwenye nidhamu hawezi kuvaa nguo inayonyesha uwazi kwa juu; kwani hakuna magauni au mashati yanayotosheleza na kuhifadhi sehemu zote za mwili????

  Tuache kwenda na wakati huku tunaharibikiwa na wakati.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 6. peri

  peri JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  umenena vyema sana, ubarikiwe.
  Tatizo ulimbukeni wa kimagharibi ndio unao tusumbua.
   
 7. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  huyo amepitwa na wakati, matiti ni kwa mumewe si kwa wapita njia
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Huyo bibi sio msagaji kweli??? Mmmmh
   
 9. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  hii fasion ni komon hapa mjini! Wadada wengi sana wanapenda kubana na kuvaa nguo inayoacha uwazi kwa juu!
  bilashaka kuna wanaume wanaopenda kuona mabibi zao wakiwa hivo!

   
 10. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  ha ha who knows labda mdada alihamaki kwasababu the "actual beneficiary" didn't match the "expected target(s)"...ni mtazamo tu
   
 11. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  teeeeeeeeteeeeeeeeeeeeeeh!
   
 12. cheupe sr

  cheupe sr Senior Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo fashion ipo mjini sana, sasa hiyo cha mtoto ... kuna staili ya kuvaa jistring( kile kichupi cha ktkt ya ......) na jeans na top afu amkute amekaa kile kiti cha kukunjua kwenye dala dala ndo utachoka!! Kitop kikojuu, jeans iko chini kichupi chote kiko nje afu eti anahangaika kushusha kitop.... khaa mi huwa nawashangaa sana kwa kweli.. daaa
   
 13. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  nilishindwa kuelewa kwa nini bibi huyu aliamua kumpapasa/kutomasa matiti badala ya kumueleza makosa yake!
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Bibi basha.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  mmmh, ningekuwa mie lazima ningekuwa segerea mida hii.

  Unipapase na ebola hii?? Ningefanya tukio lazima.
   
 16. O

  Odb Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  hahahahahahahahahaha bibi huyoooooo. congs bibi sometimes inabidi wafunzwe hawa dada zetu make wanatupa shida sana humu kwenye usafiri. make mwanaume haswa lazima apate somsing inside trying to look around just because umeamshwa hisia pasipo na vazi kama lile. big up sana bibi.
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Akina dada, hiki kivutio cha kununua bra zenye sponji ya kuinulia matiti kwanza unaukosesha raha mwili kwa kuufinyafinya na madudu eti matiti yaonekane yamesimama wakati utakapokutana na anayenaswa katika mtego huo anashkia kitu ni tepetepe imejaa hadi tumboni, mambo haya si mazuri na si malezi mema. Mbona bibi zetu hawakuwa na kawaida hiyo na utaona hawakusumbuliwa na hizi homa za saratani ya maziwa?

  Kama alivyosema mdau hata wazungu wanaonunua bra za sponji kuinulia matiti ni walewale kama hawa tunaoshuhudia, kwani waliostaarabika wanapenda nguo zinazoenda na mwili ulivyokaa, hata kama hali inaelekea chini zaidi zipo bra zinazohimili vishindo hivyo.

  Kuinua kidogo si mbaya, lakini wengi utaona kila dalili za kupitiliza hadi nyonyo zinataka kugusa videvu vyao, huku ni kuubana mno mwili wao na kwa vyo vyote wanaumia kama ilivyokuwa inaumiza ile dawa ya nywele wakati ule (kalikiti).
   
 18. k

  kasiwani Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dada zetu wanaiga tabia za kimagharibi,lkn wanaiga visivyoigika.kwa nini wasiige mbinu za kupata hela ili kujikwamua kimaisha waachane na biashara ya kujiuza,shame on them........
   
 19. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  That question should have been asked the elderly lady boarding the dala dala or what over
   
 20. N

  Nascoba JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Biashara matangazo,huyo dada alikuwa anatangaza kwamba anamudu titi f.u,ck.
   
Loading...