Mtindo mbovu wa biashara

Mtindo mbovu wa biashara

Tafuta boda au mtu alokua mjini akuchukulie afanye delivery ulipo ukiona ngumu pia reverse muamala
 
Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar.

Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo!
Nikashangaa! Nikamwuliza, kawaida ni mzigo wa mikoani inatumwa kwenye transport na mnunuzi anilipa hiyo gharama akipokea mzigo! Huyu Sundar anani ambia nirudishe muamala kama siwezi kuichukua huo mzigo ofisini kwao.

Na uliza wafanya biashara wenzangu, huo ni mtindo wa haki?
Hapo ndipo napenda sheria za Marekani, tayari hapo hiyo kampuni ingekuwa sued.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom