Mtindo mbovu wa biashara

Mtindo mbovu wa biashara

Aymanarusha

Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
5
Reaction score
8
Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar.

Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo!
Nikashangaa! Nikamwuliza, kawaida ni mzigo wa mikoani inatumwa kwenye transport na mnunuzi anilipa hiyo gharama akipokea mzigo! Huyu Sundar anani ambia nirudishe muamala kama siwezi kuichukua huo mzigo ofisini kwao.

Na uliza wafanya biashara wenzangu, huo ni mtindo wa haki?
 
Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo!

Wana kiburi cha mafanikio na kuwa na wateja wengi.....wataenda watapotea tu na matakataka yao famba
 
Mimi nipo Arusha. Nimeagiza mzigo leo kutoka kampuni ya Sundar, Dsm na huu siyo mara ya kwanza niagize mzigo kwao Sundar. Nilipewa bei na nikatuma pesa kwa airtelmoney. Sasa, na ambiwa na staff wao kwamba nitume mtu akachukue huo mzigo ofisini kwao kariakoo! Eti ni mzigo mdogo!
Nikashangaa! Nikamwuliza, kawaida ni mzigo wa mikoani inatumwa kwenye transport na mnunuzi anilipa hiyo gharama akipokea mzigo! Huyu Sundar anani ambia nirudishe muamala kama siwezi kuichukua huo mzigo ofisini kwao.
Na uliza wafanya biashara wenzangu, huo ni mtindo wa haki?
Muwe mnatumia DHL, UPS na FedEx.
 
Mkuu kibongo bongo ... ukiagiza mzigo utake kufanyiwa delivery ama utumiwe kama wewe unavyotaka jitahidi uagize kamzigo kakubwa kiasi chake , walau kimlipe yule aneenda kukutumia ama kijana wa delivery apate kanauli.... sasa pengine umeagiza TV moja au 2 au chupa za chai 2 alafu mtu atoke k/koo akakutumie ? Wabongo hatuna huo ustarabu Pole sana.... ndio maana umeambiwa kama vp cancel muamala ....
 
Reverse transaction mjomba au shida yako utapeliwe kisha uje kutulilia hapa?!

Mtu umepewa option kiungwana kabisa lakini unang'ang'ana kuja kuomba ushauri JF utafikiri ndo umefanya nao biashara.

Cancel mahusiano na huyo dealer. Tafuta mwingine wakuendana na mahitaji yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom