KOMBA hana uwezo wa kua ata balozi wa nyumba kumi kumi Uwezo wake wa kufikiri unaishia TUMBONI kwake na AKILI zake zimeamia TUMBONI mbona hana hoja zaidi ya kubimbisha Tumbo...KOMBA huna uwezo ata robo kwa KAHASHEKI kuanzia akili yako ya Tumbo na pesa humfikii ata km na wewe umepata makombo ya ESCROW....Jaribu kua unatumia japo ata akili yako ya darasa la sita kujenga hoja na sio kuja na mipasho...Kati ya vitu ambavyo vimeigharimu CCM hasa wakati wa KIKWETe ni kurahisisha mambo kwa kila sehemu ona unawezaje kumpa mtu mwenye akili ndogo km KOMBA kua mbunge mbona unatuhaibisha waTZ yeye Bunge kwake ni km TOT haoni tofauti kua pale ni jukwaa la intelectuals na sio sehemu ya majungu....Na amini JK licha ya kuivua IKULU na NCHI pia kaliharibu BUNGE kwa uswahili wake na itapita miaka 400000 kuja kupata RAIS kutoka mwambao wa PwAni kwani haoni aibu ata mcheza bao kumpa ubalozi
Zipoo kwenye matakooo ya wanawake