Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,356
- 21,390
Wabongo kujiuzulu ni ngum sana! Wanapenda sana vyeo.
Mh! Ni kweli si wajua ukisha lamba ASALI lazima utake kuchonga mzinga.
Wabongo kujiuzulu ni ngum sana! Wanapenda sana vyeo.
Katika tukio jingine mbunge Hamisi Khagasheki amejikuta katika mtifuano mkubwa na wanaomuunga mkono Pinda baada ya kumtuhumu waziwazi waziri mkuu Pinda katika mitandao ya kijamii kuwa ni mwizi ambaye hakupaswa kusubiri hadi leo.
Miongoni mwa waliomjia juu Khagasheki ni John Komba huku akimdhihaki kuwa anaona gere baada ya kutoswa uwaziri!
Kidogo kidogo maneno ya Mungu kupitia waraka wa Kakobe kwa Mh Rais yanaanza kutumia
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/618550-askofu-kakobe-ampelekea-rais-kikwete-ujumbe-wa-wazi-kutoka-kwa-mungu-2.html
Hivi kwenye hiyo list mkulu hayumo? Nina maana baba Ridh>ITAKUWA NI UPUMBAVU KWA CHAMA NA WANA~CCM KWA UJUMLA WAKE KURUHUSU KIKUNDI CHA WATU KATI YA 8 MPK 15 KUFANYA SABOTAGE KWA TAIFA LETU NA KUSABABISHA MAAFA KWA TAIFA NA AIBU INAYOZIDI KUPAA KIMATAIFA / WATU HAO KUMI WASABABISHE NCHI KUNYIMWA MISAADA JUHUDI ZOTE ZA RAIS ZIWE 0,YAANI WATU 10 WAUMIZE WATU 45MIL/WE CALL IT A....omg forgive me!