Mtikila aomba kuunganishwa kesi ya Kafulila

Mtikila aomba kuunganishwa kesi ya Kafulila

Hapa Tanzania ukishaona kuna jambo laandikwa sana au kuzungumzwa sana, mara nyingi huwa halina tija yoyote zaidi hutumika kama jambo la kupumbaza wengi ili mambo mengine ya muhimu yapitishwe kimya kimya....
 
Sasa Nafurahi kusikia CCM mnavyojikubali kua niwatoa rushawa kwa mujibu wa kauli yako mtajitaja sana

Rushwa inasainiwa? Alienda na shida huyo, nyumba yake ilikuwa ipigwe mnada Rostam akamsaidia pesa za kupunguza deni apate ahueni kidogo. Jisomee kijana, mkristo hana urafiki na Muislam, hata iweje, na kisa cha Mtikila na Rostam kinadhihirisha hilo, wakati wa shida kajidai rafiki yake sana kwenda kuomba msaada, mambo yalivyokaa sawa akamgeuka. Lakini Rostam alijuwa hilo akamsainisha na akaihifadhi petty cash voucher, matokeo?

Nani asiyeyajuwa?
 
Rushwa inasainiwa? Alien day na shida huyo, nyumba yake ilikuwa ipigwe mnada Rostam akamsaidia pesa za kupunguza deni spate ahueni kidogo. Jisomee kijana, mkristo hana unafikiri na Muislam, hata iweje, na kisa cha Mtikila na Rostam kinadhihirisha hilo, wakati wa shida kajidai rafiki yake sana kwenda kuomba msaada, mambo yalivyokaa sawa akamgeuka. Lakini Rostam alijuwa hilo akamsainisha na akaihifadhi petty cash voucher, matokeo? Nani asiyeyajuwa?

Ukweli ilikua nikumnunua kama tija kubali wito kata maneno sasa Mtikila amekata Maneno kitita kaondoka nacho naona machozi yakuliwa yanakutoka ndio maana umetoka chooni bila kunawa umekimbilia key board Harufu nyingi huku ndani
 
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam

Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.

Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.

Wewe hujawahi kukopa
 
Rushwa inasainiwa? Alien day na shida huyo, nyumba yake ilikuwa ipigwe mnada Rostam akamsaidia pesa za kupunguza deni spate ahueni kidogo. Jisomee kijana, mkristo hana unafikiri na Muislam, hata iweje, na kisa cha Mtikila na Rostam kinadhihirisha hilo, wakati wa shida kajidai rafiki yake sana kwenda kuomba msaada, mambo yalivyokaa sawa akamgeuka. Lakini Rostam alijuwa hilo akamsainisha na akaihifadhi petty cash voucher, matokeo? Nani asiyeyajuwa?

Madam, hivi wewe ni Mtanzania au Msomali??

BACK TANGANYIKA
 
Duuuh!
Yaani badala ya kuongelea mada, unaongelea mambo binafsi ambayo hayahusiania mustakabali wa fedha za wa Tanzania!
Sidhani kama una msaada kwa Tanzania na watu wake maskini wanaonyonywa.

kabisa
 
Hili sasa linanoga!!!!!

UKAWA re surfacing on this???!!!

Nilidhani utasema kwa kuwa pesa iliyoibiwa ni ya watanzania, wananchi wote tuamue kuomba mahakama ituongeze kwenye orodha ya washitakiwa kwa kuwa tumeamua kudai hadharani turudishiwe pesa yetu waliyoiiba
 
The trueth willbe known let we thus big up for ho.Mtikila &Kafulila alutacontinoua
 
Back
Top Bottom