Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
mzee wa kuibwaga serikali, hii muvi inazidi kunoga sasa.
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam
Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.
Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.
mtikila kesi yake ya kushikwa makalio imeishia wapi?
Mwezi mtukufu si kufunga kula tu bali ni pamoja na kutenda mema. Siasa za kuchumia tumbo tuweke kando tuweke utaifa mbele. Kuna watu wanateseka kutokana na mikataba mibovu iliyosainiwa na wachumia tumbo wasio na huruma hata kidogo inawagarimu wanyonge wasio na hatia hata kidogo.
Hapana mkuu ana akili sana isipokuwa huwa hana kumbukumbu na kwa sasa amefunga swaum inamsababishia upunguani.Huyo demu hajawahi kuwa na akili
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam
Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.
Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.
![]()
Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, ameomba kuunganishwa katika kesi ya madai inayomkabili Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), imefungua kesi ya madai dhidi ya Kafulila katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba aamriwe kuilipa fidia ya sh. bilioni 310 kutokana na kutangaza taarifa za kashfa dhidi yao.
... Kafulila akizungumza kwenye mjadala katika eneo la Urusi Mwanga mjini Kigoma jana, alisema Mchungaji Mtikila ameomba kuwa mshitakiwa wa pili katika kesi hiyo huku Chama chake cha DP kikiwa mshitakiwa wa tatu.
Pia Kafulila alisisitiza kuwa kamwe hakukurupuka kuibua kashfa hiyo ya ufisadi katika akaunti ya Escrow na kwamba, yuko tayari kwa lolote.
Mchungaji Mtikila amethibitisha kukubali kwake kuunganishwa kwenye kesi hiyo inayomkabili Kafulila kwa kusema Nimekubali kuunganishwa katika kesi hiyo ili kutetea haki ya wananchi wa nchi yetu kama Katiba inavyosema"
Na mimi si nimemuongelea Mtikila hapo, au huoni? au ukisoma huelewi? unanchekesha!
Kiboko yake huyo ni Rostam, alivyomletea za kuleta, Rostam akatoa ushahidi wa yeye kupewa pesa na Rostam na kasaini. Toka siku hiyo kimya, hajamtaja tena Rostam
Ukiwa muongo inataka uwe na kumbukumbu.
Hapo anajidhihirisha kuwa he is simply an opportunist.
tatizo lako we kivuruge sioni fahari kuwa chama kimoja na ww
Hilo ni tatizo lako si langu.
Kweli brave, mmoja kwa kukiuzia cha Fuso mbili chakavu kwa millioni sita, mmoja kwa kuona mke wa mtu na kuzaa nae, kinyume cha kanuni za kanisa alizosomea na kuwa daktari, mmoja kwa kuangushwa mahakamani na kijana mdogo mwanashria. Kwa hayo tu, kweli wote ni ma brave.
Your tired
We mama mi huwa nakupendaga kivingine kabisaaaa nikikuonaga lkn si kwa hoja. Hivi unaishi wapi? NiPM basi!
Jinga wewe....
![]()
Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, ameomba kuunganishwa katika kesi ya madai inayomkabili Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), imefungua kesi ya madai dhidi ya Kafulila katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ikiomba aamriwe kuilipa fidia ya sh. bilioni 310 kutokana na kutangaza taarifa za kashfa dhidi yao.
... Kafulila akizungumza kwenye mjadala katika eneo la Urusi Mwanga mjini Kigoma jana, alisema Mchungaji Mtikila ameomba kuwa mshitakiwa wa pili katika kesi hiyo huku Chama chake cha DP kikiwa mshitakiwa wa tatu.
Pia Kafulila alisisitiza kuwa kamwe hakukurupuka kuibua kashfa hiyo ya ufisadi katika akaunti ya Escrow na kwamba, yuko tayari kwa lolote.
Mchungaji Mtikila amethibitisha kukubali kwake kuunganishwa kwenye kesi hiyo inayomkabili Kafulila kwa kusema Nimekubali kuunganishwa katika kesi hiyo ili kutetea haki ya wananchi wa nchi yetu kama Katiba inavyosema"
Kamati ya Sitta yaiundia Ukawa zengwe la Katiba
![]()
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta akisisitiza jambo jana, baada ya mkutano wa Kamati ya Maridhiano uliofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Rafael Rubava
Hata hivyo, wazo hilo tayari limepingwa na wanasheria mbalimbali wakisema suala hilo haliwezekani kwa kuwa Bunge la Muungano lenye dhamana ya kutunga sheria halitakuwa na kikao hadi Novemba na kwamba hitaji la mambo ya Muungano kuamuliwa kwa theluthi mbili ya wajumbe kutoka kila upande si tu la kisheria, bali pia ni la kikatiba.