spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Kweli mkuu watakuwa wa kuchora kama wewe,unaona unavyofikili kiCCM CCM.
Badilisha username na uiongezee jina uitwe kidudu mtu ndo itakuwa na maana. Huwezi nipeleka huko unakoamini ww afu nikaelekea huko. Huyo mungu mtu anaongopa hadi raha. Kwanini asiwe mchungaji wa kondoo wa kuchora ili akitaka wapendeze namna anavyofikiri yeye aweze kuwapaka rangi ktk muda anaopenda. Alianzisha ugabachori, akasema saa ya ukombozi ni sasa sijui ilishapita, akala hela ya mhindi koko, siku hizi amekwenda mahakamani akidai kushikwa mabilinganya yake na watoto wa brown, acha kule mwanza alikopeleka polisi madai ya kuibiwa na fast jet, sasa hivi escrow, n.k. vyote hakuna kinachonyooka. Mi si mpz wa siasa zako na ukiufanyia kazi ushauri wangu utaona mwanga wa rehema na busara. Jaribu uonje mafanikio.