Makini Buz
Member
- Jan 13, 2015
- 21
- 9
Nimekuwa nikifuatilia post mbalimbali za member huyu Jf hasa jukwaa la Intelligence, amekuwa akipost elimu/uzi kuhusu mambo ya kiroho yaani vitu visivyoonekana. Hasa habari za majini nk.
Pia nakumbuka mwaka jana nilipost nikiomba ushauri wa kufungua biashara kwa mtaji wa laki150 alinishauri vizuri na akanitamkia kuwa ndani ya miezi6 nitakuwa juu kimafanikio na hadi sasa nimeweza kufungua duka la jumla na rejareja Same.
Hivyo napenda kumfahamu kama kuna mtu amewahi kukutana naye pia kuhusu mafundisho yake humu jukwaani huwa inanichanganya.