Mti huu kwa Lugha Ya Kwenu Munauitaje?

Mti huu kwa Lugha Ya Kwenu Munauitaje?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10413350_665414186898819_2766961518525946311_n.jpg


Ninatafuta Dictionary.. hapo....................Mkuu utafiti farkhina BAK faizafoxy TUKUTUKU mamydenyi Washawasha
 
Last edited by a moderator:
Mbilimbi hizo Mikoa ya Dar, Pwani, Tanga zinamea sana ila duh ni chachu mno.
 
Miaka hiyo kabla wamatumbi na wazaramo hawajakimbia hapa mjini walipanda sana hii miti. Nakumbuka siki ambayo ilikuwa ikitengenezwa zaidi kwa mbilimbi
 
Mmbilimbi.

Hizo zinaozeshwa zinawekwa kwenye chupa wanaita siki, mate yameshanijaa kwa hamu ya ghafla
 
Uliniacha mbali, ahsante Kiongozi.

Tena mbilimbi huwa zinaanikwa juani zikishaozeshwa, siki yake ni hatari sana, kwa jina lingine achari

Ni biashara inayolipwa kama ikifanywa kwa viwango vinavyotakiwa
 
Mbirimbi mti unazaa sana huo hakuna mfano......hizo kupikia mchuI au achari yake tamu balaa
 
Back
Top Bottom