Aaah huo mti ? Mtende !!
Swaheeb unantia aibu khaaa huo mtende tena jamani?...
Aaah huo mti ? Mtende !!
Deo Mwanambilimbi
Binti 3ammy sie kila mti kwetu hulinganisha na mtende...hata wewe ukiwa mrefu tutakusifia ka mtende!! Hapo hakuna aib!! kwakuwa mtende unaheshima katika miti yote!! babalao,mamalao!!Swaheeb unantia aibu khaaa huo mtende tena jamani?...