Mtela Mwampamba ni mzushi wa kawaida, Apuuzwe!!.

wewe ni muuwaji mkuu, unalisha vijana wenzako sumu. Huna moral authority ya kuzungumza na watanzania kwa njia yoyote ile. Umetumika kutekeleza uovu utatelekezwa tu kama walivotelekezwa wauwaji wenzako waliopita akina deus. Mlango wenu ni kwa shetani tu

Mkuu,
mbona povu kotekote?
 
Deus Mallya usikumbushe watu mambo ya nyuma hasa kifo cha Chacha Wangwe ukae kimya kabisa! Nakuomba sana sana ukae kimya kama ulivyo fanikiwa kuficha ukweli basi kaa kimya ufe na hiyo siri yako! Kaa kimya Deus usiongeleee habari za Chacha Wangwe tena!
 
Deus,

The boy is paranoid.......!

Huyu ni mtu wa kumpuuza maana ni kwa bahati mbaya tu na mfumo mbovu wa siasa za mfumo wa vyama vingi uliomuwezesha mtu kama huyu kuwa katika siasa zetu.Ni fedheha kubwa sana kushiriki jambo linaloitwa siasa kwa watu wenye fikra za kijima kama huyu

Alipozusha kuwa mimi ndiye niliyemrekodi Lwakatare nilimuonya.Alipozusha tuhuma za Sumu nilimuonya lakini yeye na timu yake wakamdanganya mhariri wa Mtanzania Charles Mulinda na kumponza.Leo mhariri huyo maskini amefukuzwa na jukwaa la wahariri.Wao wamepoteza relevancy ya kisiasa ndani ya chama chao na nje ya chama

Well,Let's leave gutter politics for uninformed and the stupid!

Ben Saanane,
Let us do it Korean style, Mtela Mwampamba is a “traitor to CHADEMA for all ages, a disgrace to human race, a despicable political careerist and trickster,” “human scum” and “worse than a dog.
 
Nilishampuuza siku nyingi huyu Mwampamba. Kila anachoongea au kuandika huwa ni uzushi tu. Mpuuzi sana huyu.

Huyo Mwampambwa kwa maandishi yake tu ni mtu anayesononeka na kuweweseka kila wakati na spot Diagnosis ya mtu mwenye matendo na dalili za kama yeye ni kwamba ana tatizo la "Psychotic Depression"..hivyo ni kweli ni bora kumpuuza kuliko kupoteza mda mkiwa mnajibizana na mgonjwa fulani asiyejitambua kuwa mgonjwa na kama ana ndugu wanaompenda basi wangefanya mpango wa kumpatia mtaalamu pale Muhimbili,

Kwa wale wanaozijua Depression Disorders hebu mjikumbushe kidogo...

[h=4]Psychotic depression[/h]Sometimes people with a depressive disorder can lose touch with reality and experience psychosis. This can involve hallucinations (seeing or hearing things that are not there) or delusions (false beliefs that are not shared by others), such as believing they are bad or evil, or that they are being watched or followed. They can also be paranoid, feeling as though everyone is against them or that they are the cause of illness or bad events occurring around them.
 
Deus,

The boy is paranoid.......!

Huyu ni mtu wa kumpuuza maana ni kwa bahati mbaya tu na mfumo mbovu wa siasa za mfumo wa vyama vingi uliomuwezesha mtu kama huyu kuwa katika siasa zetu.Ni fedheha kubwa sana kushiriki jambo linaloitwa siasa kwa watu wenye fikra za kijima kama huyu

Alipozusha kuwa mimi ndiye niliyemrekodi Lwakatare nilimuonya.Alipozusha tuhuma za Sumu nilimuonya lakini yeye na timu yake wakamdanganya mhariri wa Mtanzania Charles Mulinda na kumponza.Leo mhariri huyo maskini amefukuzwa na jukwaa la wahariri.Wao wamepoteza relevancy ya kisiasa ndani ya chama chao na nje ya chama

Well,Let's leave gutter politics for uninformed and the stupid!

Mie nipo kwenye hilo la kukanwa. Ben tukumbushe nalo kama ni la uongo? Je mnyika hajawahi kumkana Deus?
Na kamanda Ludo ivi mpaka leo mnamkana?
 
hivi kati ya deus, ben na mwigulu, chenge n.k nani wauaji?

wote..........Deus ni mafia, well trained in killing
Ben saa 8, kachupa ka sumu
mwigulu na chenge hawana direct relation na any killing japo wanaweza kuwa wanahusika

ila Deus and Ben ni confirmed..............na utaona watakufa hivyo hivyo kuhakikisha hakuna loose ends
 
Ben Saanane,
Let us do it Korean style, Mtela Mwampamba is a "traitor to CHADEMA for all ages, a disgrace to human race, a despicable political careerist and trickster," "human scum" and "worse than a dog.
Korean style unamaanisha kunyonga au? hivi mtaua wangapi na kwa faida ya nani?
 
wote..........Deus ni mafia, well trained in killing
Ben saa 8, kachupa ka sumu
mwigulu na chenge hawana direct relation na any killing japo wanaweza kuwa wanahusika

ila Deus and Ben ni confirmed..............na utaona watakufa hivyo hivyo kuhakikisha hakuna loose ends

kuua ni nini? Muuaji ni nani?
 
We dogo muuaji kwanza nilivyo na hasira sitaki hata kukuona maana.....
 
Nakereka sana ninapolisoma hili jina la Mwamcotton, jamaa anahongwa kama mtoto wa kike alokosa mwelekeo. Nahisi yuko tayari hata kumuuza mamake akafanye uchangu uko ccm kama alivyo muuza dadake Shonza kisa ugali. Aaaargh
 
Nimeipenda sana hii lol!!!! MACCM uzushi ni sera yao mpya baada ya sera zao zote zikiwemo "ari mpya nguvu mpya na kasi mpya" "Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana" "sasa tunalivua gamba""Kilimo kwanza" "BRN" na "Tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele kushindwa vibaya sana.

CCM uzushi ni sera yao
 
Back
Top Bottom