Mtela Mwampamba, kamatia hapohapo

Kaka tuchati
 
Au alikula 'the forbidden apple'.
 
Hivi hizi stori za vijiweni huwa mwazitoa wapi? Kutumbuliwa kwa DAS hakufungamani na JPM wala DC, hilo ni zigo lake mwenyewe na wake za watu kama alivyosema Mh.
 
Inzi kufia kwenye kidonda si ufala....!! kamatia hapo hapo - Kisawawe si mbali - watu wanafuata mizigo Kivu regardless mabomu na milio ya risasi...acha kabisa hiyo kitu.
 
Kumwita mtu mnene "bonge"au kumwita mtu mrefu "tall" ni kashifa?
Kuna majina yanatweza, it depends, mtu mnene kuitwa bonge ni sifa akiitwa bonge nyanya ametwezwa, mtu mrefu akiitwa tall ni sifa, akiitwa ngongoti- ametwezwa!.
Kilema- mtu mwenye ulemavu
Zeruzeru- Mtu mwenye albinism
Kiziwi- Mtu asiyesikia
Kipofu- Mtu asiyeona
Bubu- Mtu asiye ongea.
Bonge Nyanya- Mtu mnene.
Ngongoti- Mtu mrefu.
Malaya- sex workers
Taahira- Upungufu wa akili
Kichaa- mgonjwa wa akili
Mwendawazimu- mtu mwenye ugonjwa wa wazimu
Etc
 
Hebu acha kujipigia debe...lini utajitambua?
 
Akikujibu Pascal nitag
Alikuwa sell hivi karibuni na msululu wa wake za watu aliowazalisha watoto mbele yake, wote wakuajiri Kuwa ndie aliye wapatia ujawepesi! Utetezi wake eti alikuwa hajui Kama ni wake za watu! Hivi vyeo bandugu ni dhamana, tusivitumie vibaya kujinufaisha kingono aisee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…