Mkuu hapo 👆 jeshi linamshikilia ni police au JWTZ.Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police. Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma. Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umeifukisha nchi kwenye machafuko
Note: Tusitaje majina ya watu
Hii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa zikizunguka anga la Dar na viunga vyake, pamoja na ulinzi mkali ukiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.
Aisee, mna vipaji,,Hii issue ilifanyika kipindi kile mlipoona chopa na uulinzi mkali vikiimarishwa jijini Dar. Watu wengi wakahusisha na mkwara wa bro wa slowslow.
Inadaiwa siku hiyo polisi kadhaa na hired goons kadhaa walidakwa na kuchujwa kwa mahojiano ya siku 3 kambi ya jeshi ya Lugalo.
Waliokwama kwenye mchujo wako chini ya ulinzi mpk kesho.
N. B. Mleta mada hayaki majina yatakwe. Nami naheshimu na kuishia hapo
Wenzako tuna watu. Wewe endelea kuvaa viatu.Aisee, mna vipaji,,
Unakitu utafika mbali bongo muvi
Lkn huyu mbona kahusika tena kwa Mwambe??Maana kile kipande kina roho ngumu waweza sema Sisu, watu wanakihofia hadi maboss zake sikuweza kuamini moja kwa moja ila kwa huu ukimya wake tangu maandamano yafanyike maybe inawezekana.
Ndivyo taarifa zilivyosema?Lkn huyu mbona kahusika tena kwa Mwambe??
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiriwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio umefikisha nchi kwenye machafuko
View attachment 3516393
Wengi wameenda kozi!!yafanyike maybe inawezekana.