Nimelewa na Saumu kweli umejuaje wewe ? ni Mchawi nini? Huku kwetu tunafunguwa saa 3 usiku kazi kweli.Hii si imo humu JF imeanzishwa toka juzi na tumeshachangia sana, kulikoni? swaumu kali?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/692767-mtei-nililipwa-mshahara-sawa-na-nyerere.html
Hii si imo humu JF imeanzishwa toka juzi na tumeshachangia sana, kulikoni? swaumu kali?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/692767-mtei-nililipwa-mshahara-sawa-na-nyerere.html
Edwin Mtei akiwa gavana anasema alilipwa mshahara sawa na Nyerere akiwa Rais ili kupunguza tabaka la wenye kipato cha juu kutokana na uadilifu wa mwl. Nyerere ambapo kwa sasa ni vigumu sana.
==================================
Chanzo; Mwananchi
Ujinga mwingine unatisha sana,
Hivi Nyerere hata asipochukuwa mshahara alikuwa anashida ipi, nyumba bure, kula bure, kulala bure, na huku anazidi kuiangamiza Tanzania kuwa nchi masikini ya mwisho duniani.
Mtei asitafute umaarufu wa Kisiasa kwa kupitia jina la Nyerere, yeye kwanini aliachia/aliachishwa uwaziri? aeleze ukweli.
Futa ujinga wako bibiUjinga mwingine unatisha sana,
Hivi Nyerere hata asipochukuwa mshahara alikuwa anashida ipi, nyumba bure, kula bure, kulala bure, na huku anazidi kuiangamiza Tanzania kuwa nchi masikini ya mwisho duniani.
Mtei asitafute umaarufu wa Kisiasa kwa kupitia jina la Nyerere, yeye kwanini aliachia/aliachishwa uwaziri? aeleze ukweli.
Matapeli makubwa.Nyerere hakuwa mhuni, wanaogombea urais hivi sasa wote ni wahuni na wanawekwa na wahuni wenzao, Mtu kama Rage au Kinana eti ni viongozi tegemea watachagua viongozi aina gani?
Hakuna kiongozi yeyote hapa Tanzania ataweza kufikia hata robo ya legacy ya Mwalimu Nyerere.Chuki zako ni udini mtupu huna lolote, na hujaanzia hapa muda wote upo hivyo, wala sihitaji kutoa ushahidi wowote coz umeshazibwa macho, masikio na fikra kwa mitazamo yako ya chuki binafsi.
Nyerere was a great man ever lived in Tanzania, na hakuna unachoweza kubadilisha.
Watanzania tulimuangusha vipi Mwl.Nyerere kwenye ujamaa?Hakuna kiongozi yeyote hapa Tanzania ataweza kufikia hata robo ya legacy ya Mwalimu Nyerere.
Mwalimu Nyerere sio alikuwa Rais wa Tanzania bali alikuwa miongoni mwa viongozi bora Africa. Sera yake ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa the best kwa watanzania ila watanzania ndio walimwangusha.
Hili suala la uzawa kushika uchumi wa Tanzania Mwalimu alilitekeleza mara baada ya Azimio la Arusha mwaka 1967. Njia zote za kiuchumi aliwapa watanzania kuziendesha kama RTC, National Milling, Gapex, Kabimita nk lakini mashirika haya kwa usimamizi mbovu wa wazawa yalifilisika.Watanzania tulimuangusha vipi Mwl.Nyerere kwenye ujamaa?
Big up jembe letu la moshi mtei
Mtei hajielewi. Hajui Gavana wa BOT analipwa mshahara mkubwa kuliko rais. Yuko wapi huyu MZEE; halafu chagumo wanasifia ati jembe lao. Huu unafiki wa chagudomo ni wakijinga.Edwin Mtei akiwa gavana anasema alilipwa mshahara sawa na Nyerere akiwa Rais ili kupunguza tabaka la wenye kipato cha juu kutokana na uadilifu wa mwl. Nyerere ambapo kwa sasa ni vigumu sana.
==================================
Chanzo; Mwananchi