Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...


Uko nje ya mada...
 

Rostam Aziz amezaliwa kwenye familia tajiri zaidi kuliko familia ya Mbowe yenye biashara ya hoteli.
 

rip tuseme RIP kirefu chake Rest In Peace. Nikichukua maneno yote inakuwa Rest In Peace in Hell :A S-confused1:. How some one can rest in peace ni hell. Kwa vile hakuna aliyekwenda huko na kurudi labda inawezekana. By the way sio utamaduni wetu kuombeana kwenda huko hata ufanye mabaya kiasi gani zaidi ya kumuombea msamaha Mwenyezi Mungu na apumzike kwa amani. Amen.
 
Huu mkakati wa kujaribu kumchafua Mbowe niliunasa na nikauanzishia thread hapa,lakini kwa sababu zisozoeleweka ama mazingira yenye utata thread yangu ikafungwa.

Baada ya kufungwa kwa thread ile tumeendelea kushuhudia buku Saba fc wanavyoanzisha kila aina ya threads za kumshambulia Mbowe.

Jambo moja la uhakika ni kwamba Mbpwe hachafuki. Mbowe ni mfanyabiashara anayefanya biashara kwa uwazi na analipa kodi inaypstahili kwa mujibu wa sheria.

Kama ccm wanadhani wanaweza kuwanusuru viongozi wao mafisadi walioficha mabilioni ya shilingi katika mabenki ya uswisi kwa hadaa ya kujadili Mbowe kununua nyumba Dubai Huku wakishindwa kubaini kwamba Ana nyimba SA,Kenya,USA na Uingereza basi huo ni upofu wa halo ya juu.

Wananchi wa sasa sio wale wa mwaka 47 kwahiyo hawadanganyiki na hivi vipropaganda uchwara vya ccm. Kwani ccm wamethibitika kushindwa kabisa kutekeleza ilani Yao ya uchaguzi ya 2010 na kujikita katika kufanya ghilba.
 

Mkuu Mwita,

Twende hatua kwa hatua. Tuweke jazba pembeni.

Kinachofanyika hapa ni connecting the dots...
 
Hivi tangu lini kuwa mfanyabiashara imekuwa kigezo cha kutokuhusika na ufisadi?

Thread za ufisadi za JF kwa miaka mingi zilikuwa zinamuhusu Rostam Aziz.

Familia ya Rostam kwa vizazi kadhaa imekuwa ikifanya biashara za kimataifa...
 
Mkuu Mwita,

Twende hatua kwa hatua. Tuweke jazba pembeni.

Kinachofanyika hapa ni connecting the dots...

Wakati unapokuwa unajitahidi kuitetea ccm na serikali yake uwe unaongeza umakini kidogo.

Sasa twende hatua kwa hatua kwa kunijibu maswali yafuatayo.

1. Mtei aliacha kazi BOT mwaka gani?
2. Mbowe aliajiriwa BOT mwaka gani na katika nafasi gani?

Ukinijibu haya maswali mawili kwanza ili baada ya hapo ndipo ywende mbele hatua nyingine.
 
chadema ni saccos ya mtei na mkwe wake, wengine ni misukule tu hawajitambui
 
hayo maswali kawaulize wahusika, wewe ndio utoe majibu hapa kwanza kuhusu ku connect the dots. uhusiano wa mtei na mbowe BOT.
 
Wee ni kibaraka tu, baada ya kuupewa ukweli kuhusu ufisadi wa mbowe, ukatumwa hapa uje ufanye counter attack na kupotosha ukweli. mbowe ni jambazi na ni mwizi tu
 
Wee ni kibaraka tu, baada ya kuupewa ukweli kuhusu ufisadi wa mbowe, ukatumwa hapa uje ufanye counter attack na kupotosha ukweli. mbowe ni jambazi na ni mwizi tu

Nimewaambia wataje waajiriwa watano tu wa Mbowe wenye elimu ya angalau shahada ya kwanza. Wameshindwa.

Huwezi kuwa tajiri kama hujaajiri watu na wewe mwenyewe uko kwenye siasa.

Hizo pesa zinaingizwa na nani bila waajiriwa wasomi?
 
mbowe alishajichafua mwenyewe tangu zamani
-amempachika mbunge wake mimba zisizotarajiwa
-anaendesha danguro ambalo ni kitovu cha ushoga na usagaji afrika mashariki na kati na ndio kitovu cha madawa ya kulevya na kuharibu vijana
-anakiuzia chadema magari mabovu kwa fedha kubwa
sasa anakula ruzuku kununulia makasri huko dubai
 
Tuleteeni kwanza Baali... Sorry, Balali ndio muwe na jeuri ya kuhoji mengine
 
Hahahaha!! Chadema imewakamata haswa.
Huyu amenikumbusha enzi zile za mwanzo wa vyama vingi vya siasa mfanyabiashara akiwa chama tofauti na CCM, serikali ilikuwa inakuletea watu wa TRA wanakubambikiza makodi ya uwongo wanakufilisi.
TRA wakaja wakaenda ofisini kwa Mzee Ndesamburo wakamtafuta mzee mwenyewe wakaanza kumueleza mambo yao, mzee akawaambia huko mimi sihusiki wala sijui chochote ingieni kwenye hiyo ofisi hapo imeandikwa ACCOUNTS DEPARTMENT mtapata maelezo huko, jamaa waliishia kuondoka kwa AIBU kwa sababu mahesabu yao waliyokuwa wameyaandaa ni magumashi, wangeenda kuuliza nini??
Hawa TRA ndiyo huyu ZeMarcopolo alichokuwa anakileta kumbe hana any details kuhusu Mbowe. Kopo ingia ofisi ilee ya Maulizo utapata majibu yako, Mbowe hajui chochote kuhusu hayo unayoongea.
 
Last edited by a moderator:
Ukinionyesha sehemu nilipohalalisha ufisadi nitakulipa milioni 10.
utamlipa kwa cheki, cash, M-pesa au njia gani!? Kutumia muda mwingi kuandika uzushi na kujitahidi kuwaaminisha watu wauamini. Tz ndio maana hatuendelei pamoja na kuwa na kila nyenzo ya kuleta maendeleo!

 
Tatizo hata somo la kodi limekupita pembeni chukua hii. "Tax avoidance" ni pale mlipa kodi anapo punguza kiwango cha kulipa kodi kisheria , kwa kutumia mianya iliyopo kwenye sheria ya kodi .Na jambo hili sio kosa maana hajavunja sheria ya kodi. Utajiri utaendana na ulipaji kodi ikiwa sheria ya kodi itazibwa mianya!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…