Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

Mtei - Mbowe - BoT; Connecting the dots...

Kwa akili yako Mbowe anamiliki biashara moja ya Ukumbi wa Burudani (Billicanas)?

Na kama hajalipa/ halipi kodi huoni kama huo ni udhaifu wa Serikali yetu ya CCM ktk kukusanya kodi?

Na kama, kwa namna yoyote ile walitumia nafasi zao vibaya kwa maslahi binafsi wakiwa watumishi wa UMMA kwa nini serikali haikuwachukulia hatua? Huoni kama huo nao ni udhaifu wa Serikali yetu sikivu ya Chama Cha Mapinduzi?
Kamanda sisi wengine hatuzifahamu biashara za Mbowe unaweza kutufahamisha.
 
Mbowe ni mwanaume manake hajafanya ufsadi bali karithi mali za baba yake na kaja kutafuta zakwake nakuziendeleza kwa kiasi kikubwa zile za babaye.

Good explanation...!
 
Ukinionyesha sehemu nilipohalalisha ufisadi nitakulipa milioni 10.

Km ndivyo hujui km mbowe pamoja na mambo ya siasa lkn pia ana biashara zake, watanzania hawana shida na majumba au mali za mbowe na wengineo, watanzania shida yetu ni pale mawaziri na wakuu wa nchi wanapo misuse our resources for their private gain. that is all. hamwezi mkaisafisha ccm kwa kuichafua chadema na viongozi wao, tuelezeni mmetufanyia nini kwa uongozi wenu huu butu.
 
kweli kabisa mkuu hizi salakasi za hawa matahira ni kutuondoa kwenye hoja ya mdingi kwa sasa yaani katiba...

Mkuu Crashwise,

Yaani mara ghafla na wewe umekuwa miongoni mwa watu wasiotaka kuzungumzia sakata la kuficha mabilioni ughaibuni.

Wewe ulikuwa mstari wa mbele kushadadi hili saga. Baada ya kuthibitishiwa kuwa Mwenyekiti wako Mbowe na mkwewe Mtei ni miongoni mwa walioficha mabilioni umepoteza hamu ya kujadili tena!!!

Thats not a good sign buddy...
 
huyu ndiye marcopolo full kanjanja sasa hapo unataka watu wenye akili wa connect dots kwenye utumbo kama huo fikiri tofauti mkuu utaendelea kulalama nyuma ya keyboard mpaka kiama gamba mkubwa wewe.
 
Km ndivyo hujui km mbowe pamoja na mambo ya siasa lkn pia ana biashara zake, watanzania hawana shida na majumba au mali za mbowe na wengineo, watanzania shida yetu ni pale mawaziri na wakuu wa nchi wanapo misuse our resources for their private gain. that is all. hamwezi mkaisafisha ccm kwa kuichafua chadema na viongozi wao, tuelezeni mmetufanyia nini kwa uongozi wenu huu butu.

Utajiri wa mtu unaweza kukadiriwa kwa kuangalia kiasi cha kodi anayolipa.

Kiasi cha kodi aliyolipa Mbowe kwa miaka 10 iliyopita hakiendani na utajiri huu mkubwa wa ambilioni aliyoficha nje ya nchi.

Hali iko hivyohivyo kwa Mzee Mtei ambaye ni mkwe wa Mbowe.
 
huyu ndiye marcopolo full kanjanja sasa hapo unataka watu wenye akili wa connect dots kwenye utumbo kama huo fikiri tofauti mkuu utaendelea kulalama nyuma ya keyboard mpaka kiama gamba mkubwa wewe.

Yaani vijana wa Bavicha ghafla mmebadilika.

Kujadili ufisadi uliofanywa BoT enzi za Mtei imekuwa ni kulalama!

Tangu lini kujadili ufisadi imekuwa kulalama? Kwahiyo Bavicha haitaki tena mijadala ya ufisadi?
 
Balali na CCM wenyewe wanamiliki nini?

Mbowe si kila siku mnamponda hapa eti std seven alikuwa na cheo gani BOT hadi kuweza kuchota Pesa?
mbona Mwigulu aliajiriwa BOT naye ana mabilioni?

kuajiriwa BOT haikufanyi uwe na Mabilioni.

Hajijui alitendalo msamehe bure. Tatizo akiki zakushikiwa. Yeye anachojua mbowe anamiliki ukumbi wa disco tu. Mtaendelea kua maskini na vizazi vyenu mkiendekeza michiriku na taarab fanyeni kazi nyie kizazi cha magamba hususan Ze marco Simiyu Yenu Christina Lukosi.
 
Balali na CCM wenyewe wanamiliki nini?

Mbowe si kila siku mnamponda hapa eti std seven alikuwa na cheo gani BOT hadi kuweza kuchota Pesa?
mbona Mwigulu aliajiriwa BOT naye ana mabilioni?

kuajiriwa BOT haikufanyi uwe na Mabilioni.

Tafadhali ndugu wacha kufanya watu wajinga, Mwigulu alipokua BOT baba mkwe wake hakua mkuu wa hiyo Organization. While Mbowe kwanza ukabila ulimsaaidia, ukaribu wa babayake na Mtei ulichangia, na Ndoa yake na mwana Mtei hiyo ndiyo ilikuwa sealant ya super glue iliyomuezesha Mboe kuweza kuurithi Uenyekiti wa Chadema na Mabilion yaliyoporwa BOT na Mtei........
 
Baada ya kusoma huu uzi nimeamua kutoka na hii single.

Manyani manyani×2
Hayaoni hayaoni×2
Yanajibomoa yanajibomoa×2....

Itaendelea.

Ila niseme tu, manyani yanajibomoa kwa mikono yao wenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom