William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
By Mwita Maranya
Wakati unapokuwa unajitahidi kuitetea ccm na serikali yake uwe unaongeza umakini kidogo.
Sasa twende hatua kwa hatua kwa kunijibu maswali yafuatayo.
1. Mtei aliacha kazi BOT mwaka gani?
2. Mbowe aliajiriwa BOT mwaka gani na katika nafasi gani?
Ukinijibu haya maswali mawili kwanza ili baada ya hapo ndipo ywende mbele hatua nyingine.
- Unajua mnapojifanyaga mnajua sana kuhusu Chadema huwa ninawashangaa sana, Mbowe anayajua haya siku nyingi sana, alipotaka kugombea urais uchaguzi uliopita kuna wasamaria wema toka CCM walimuonya kwa siri mapema sana kwamba this time uchafu wake utaanikwa hadharani kama atagombea, ndipo aakaamua kumuachia Dr. Slaa at a very late time bila ya kusema sababu inayomfanya kumuchia Slaa dakika za mwisho.
- Chadema sio chama chenu nyie kina wenyewe na ndio hawa kina Mbowe na Mtei, ndio wenye chama. Mwenyekiti wenu wa Chadema anawezaje kuwa na majumba nje ya nchi? Yaani it does not make any sense at all kwa mtu anayelia kila siku kwamba ni Mzalendo, na kwamba yupo tayari kufa kwa ajili ya wananchi I mean in the wake of this all that is bullshit!!
- Halafu mimi narudia tena naomba anayejua ukweli auweke hapa kwamba ni wapi Mwenyekiti wenu amepata hizo hela za kuwa na majumba nje ya nchi, auweke hapa uhalali wa mapesa yake kwa sababu that is incredible, only in Tanzania sasa imagine kama Zitto asingejilipua on this tungejuaje? Binafsi I know the guy since we were kids, I am shocked kusikia kwamba na utajiri wa ajabu kiasi hiki kwa biashara gani? Please!!
- Sasa ndio ukweli unajiweka wazi kwamba ni kwa nini Zitto anachukiwa sana huko Chadema, kumbe mnajua akiwa Mwenyekiti haya yote atayatolea ufafanuzi bila kuogopa na itakuwa aibu!! Knowing Mbowe as I do najua kwamba ana utajiri najua hata size ya utajiri aliokabidhiwa na Marehemu baba yake, lakini utajiri wa kuwa na majumba nje ya nchi, no way something is a big miss hapo!! na anahitaji kutoa maelezo makubwa na mazito ya kina kwamba amepata wapi hizo mali tena kwa haraka haraka hivyo!!
- Mtei hana mali nyingi sana wala sio siri, lakini huu utajiri wa ajabu wa Mwenyekiti wenu umenishitusha sana!!
Le Mutuz
Rostam Aziz amezaliwa kwenye familia tajiri zaidi kuliko familia ya Mbowe yenye biashara ya hoteli.
Huu mkakati wa kujaribu kumchafua Mbowe niliunasa na nikauanzishia thread hapa,lakini kwa sababu zisozoeleweka ama mazingira yenye utata thread yangu ikafungwa.
Baada ya kufungwa kwa thread ile tumeendelea kushuhudia buku Saba fc wanavyoanzisha kila aina ya threads za kumshambulia Mbowe.
Jambo moja la uhakika ni kwamba Mbpwe hachafuki. Mbowe ni mfanyabiashara anayefanya biashara kwa uwazi na analipa kodi inaypstahili kwa mujibu wa sheria.
Kama ccm wanadhani wanaweza kuwanusuru viongozi wao mafisadi walioficha mabilioni ya shilingi katika mabenki ya uswisi kwa hadaa ya kujadili Mbowe kununua nyumba Dubai Huku wakishindwa kubaini kwamba Ana nyimba SA,Kenya,USA na Uingereza basi huo ni upofu wa halo ya juu.
Wananchi wa sasa sio wale wa mwaka 47 kwahiyo hawadanganyiki na hivi vipropaganda uchwara vya ccm. Kwani ccm wamethibitika kushindwa kabisa kutekeleza ilani Yao ya uchaguzi ya 2010 na kujikita katika kufanya ghilba.
Hivi tangu lini kuwa mfanyabiashara imekuwa kigezo cha kutokuhusika na ufisadi?
Thread za ufisadi za JF kwa miaka mingi zilikuwa zinamuhusu Rostam Aziz.
Familia ya Rostam kwa vizazi kadhaa imekuwa ikifanya biashara za kimataifa...
- Unajua mnapojifanyaga mnajua sana kuhusu Chadema huwa ninawashangaa sana, Mbowe anayajua haya siku nyingi sana, alipotaka kugombea urais uchaguzi uliopita kuna wasamaria wema toka CCM walimuonya kwa siri mapema sana kwamba this time uchafu wake utaanikwa hadharani kama atagombea, ndipo aakaamua kumuachia Dr. Slaa at a very late time bila ya kusema sababu inayomfanya kumuchia Slaa dakika za mwisho.
- Chadema sio chama chenu nyie kina wenyewe na ndio hawa kina Mbowe na Mtei, ndio wenye chama. Mwenyekiti wenu wa Chadema anawezaje kuwa na majumba nje ya nchi? Yaani it does not make any sense at all kwa mtu anayelia kila siku kwamba ni Mzalendo, na kwamba yupo tayari kufa kwa ajili ya wananchi I mean in the wake of this all that is bullshit!!
- Halafu mimi narudia tena naomba anayejua ukweli auweke hapa kwamba ni wapi Mwenyekiti wenu amepata hizo hela za kuwa na majumba nje ya nchi, auweke hapa uhalali wa mapesa yake kwa sababu that is incredible, only in Tanzania sasa imagine kama Zitto asingejilipua on this tungejuaje? Binafsi I know the guy since we were kids, I am shocked kusikia kwamba na utajiri wa ajabu kiasi hiki kwa biashara gani? Please!!
- Sasa ndio ukweli unajiweka wazi kwamba ni kwa nini Zitto anachukiwa sana huko Chadema, kumbe mnajua akiwa Mwenyekiti haya yote atayatolea ufafanuzi bila kuogopa na itakuwa aibu!! Knowing Mbowe as I do najua kwamba ana utajiri najua hata size ya utajiri aliokabidhiwa na Marehemu baba yake, lakini utajiri wa kuwa na majumba nje ya nchi, no way something is a big miss hapo!! na anahitaji kutoa maelezo makubwa na mazito ya kina kwamba amepata wapi hizo mali tena kwa haraka haraka hivyo!!
- Mtei hana mali nyingi sana wala sio siri, lakini huu utajiri wa ajabu wa Mwenyekiti wenu umenishitusha sana!!, halafu kama hamna hoja nzito za kumtetea ni bora mkanyamaza kwa sababu kwa tunaomjua inashangaza sana kusikia jamaa ana this kind of utajiri, I mean kuna mjinga mmoja kule juu nimeona anasema Mbowe aliachiwa hayo majumba na baba yake, pure nonsense!! nyamazeni tu!!
Le Mutuz
Good questions.Kwa akili yako Mbowe anamiliki biashara moja ya Ukumbi wa Burudani (Billicanas)?
Na kama hajalipa/ halipi kodi huoni kama huo ni udhaifu wa Serikali yetu ya CCM ktk kukusanya kodi?
Na kama, kwa namna yoyote ile walitumia nafasi zao vibaya kwa maslahi binafsi wakiwa watumishi wa UMMA kwa nini serikali haikuwachukulia hatua? Huoni kama huo nao ni udhaifu wa Serikali yetu sikivu ya Chama Cha Mapinduzi?
- Unajua mnapojifanyaga mnajua sana kuhusu Chadema huwa ninawashangaa sana, Mbowe anayajua haya siku nyingi sana, alipotaka kugombea urais uchaguzi uliopita kuna wasamaria wema toka CCM walimuonya kwa siri mapema sana kwamba this time uchafu wake utaanikwa hadharani kama atagombea, ndipo aakaamua kumuachia Dr. Slaa at a very late time bila ya kusema sababu inayomfanya kumuchia Slaa dakika za mwisho.
- Chadema sio chama chenu nyie kina wenyewe na ndio hawa kina Mbowe na Mtei, ndio wenye chama. Mwenyekiti wenu wa Chadema anawezaje kuwa na majumba nje ya nchi? Yaani it does not make any sense at all kwa mtu anayelia kila siku kwamba ni Mzalendo, na kwamba yupo tayari kufa kwa ajili ya wananchi I mean in the wake of this all that is bullshit!!
- Halafu mimi narudia tena naomba anayejua ukweli auweke hapa kwamba ni wapi Mwenyekiti wenu amepata hizo hela za kuwa na majumba nje ya nchi, auweke hapa uhalali wa mapesa yake kwa sababu that is incredible, only in Tanzania sasa imagine kama Zitto asingejilipua on this tungejuaje? Binafsi I know the guy since we were kids, I am shocked kusikia kwamba na utajiri wa ajabu kiasi hiki kwa biashara gani? Please!!
- Sasa ndio ukweli unajiweka wazi kwamba ni kwa nini Zitto anachukiwa sana huko Chadema, kumbe mnajua akiwa Mwenyekiti haya yote atayatolea ufafanuzi bila kuogopa na itakuwa aibu!! Knowing Mbowe as I do najua kwamba ana utajiri najua hata size ya utajiri aliokabidhiwa na Marehemu baba yake, lakini utajiri wa kuwa na majumba nje ya nchi, no way something is a big miss hapo!! na anahitaji kutoa maelezo makubwa na mazito ya kina kwamba amepata wapi hizo mali tena kwa haraka haraka hivyo!!
- Mtei hana mali nyingi sana wala sio siri, lakini huu utajiri wa ajabu wa Mwenyekiti wenu umenishitusha sana!!, halafu kama hamna hoja nzito za kumtetea ni bora mkanyamaza kwa sababu kwa tunaomjua inashangaza sana kusikia jamaa ana this kind of utajiri, I mean kuna mjinga mmoja kule juu nimeona anasema Mbowe aliachiwa hayo majumba na baba yake, pure nonsense!! nyamazeni tu!!
Le Mutuz
Le mutuz hivi wewe na zero yako unaandika nini hapa?
Baba yako mzazi mzee Jumanne John Samwel Malecela anamiliki nyumba Australia na Canada na miaka yote amekuwa mtumishi wa umma.
Mzee Jumaane Malecela hajawahi kufanya biashara hata ya ubuyu tu, sasa hayo majumba anayomiliki huko ughaibuni alitoa wapi fedha ya kuyajenga ama kuyanunua?
Mimi najua unamtajataja sana Mbowe kwasababu mmelingana umri lakini bahati mbaya kwako bado unatunzwa na baba yako at your age of 55 yrs wakati Mbowe anafanya biashara ya kueleweka hadi anamiliki mali ambazo hata mkijikusanya ukoo wenu wote mkachanga mali zenu hamuwezi kumfikia.
mbowe alishajichafua mwenyewe tangu zamani
-amempachika mbunge wake mimba zisizotarajiwa
-anaendesha danguro ambalo ni kitovu cha ushoga na usagaji afrika mashariki na kati na ndio kitovu cha madawa ya kulevya na kuharibu vijana
-anakiuzia chadema magari mabovu kwa fedha kubwa
sasa anakula ruzuku kununulia makasri huko dubai
Wewe binti mwanambozi acha kujidhalilisha.
Unaona wivu mwanamke mwenzako kupata mimba,ulitaka akupachike wewe? Huko kwenu mbozi ni ajabu mwanamke kupachikwa mimba? Au ni wewe mwenyewe umeamua kujitia ukichaa. Au huyo beana uliyenaye huko ccm hakutoshi?
Madawa ya kulevya yanauzwa na viongozi Wako huko ccm au hili nalo unahitaji desa ili kulijua? Unafikiri kwanini serikali inapata kigugumizi kuwashughulikia wauza sembe? Si kwakuwa wote ni wanaccm.
Serikali yenyewe inayo sheria inayoiruhusu kununua vitu vilivyokwisha kutumika,sasa unashangaa nini Mbowe kuiuzia Chadema magari ambayo aliyanunua yakiwa mapya na kuyatoa kwa chama wakati hakina uwezo wa kununua gari,na ameyauza kwa bei ndogo sana.
Mzee wako kawa PM wa nchi hii. Unataka tuambia mzee wako hana nyumba ughaibuni? Je,mzee wako hana biashara ndani na nje ya nchi?
Tutaleta data hapa utakimbia wewe.
By Mwita Maranya
Le mutuz hivi wewe na zero yako unaandika nini hapa?
Baba yako mzazi mzee Jumanne John Samwel Malecela anamiliki nyumba Australia na Canada na miaka yote amekuwa mtumishi wa umma.
Mzee Jumaane Malecela hajawahi kufanya biashara hata ya ubuyu tu, sasa hayo majumba anayomiliki huko ughaibuni alitoa wapi fedha ya kuyajenga ama kuyanunua?
Mimi najua unamtajataja sana Mbowe kwasababu mmelingana umri lakini bahati mbaya kwako bado unatunzwa na baba yako at your age of 55 yrs wakati Mbowe anafanya biashara ya kueleweka hadi anamiliki mali ambazo hata mkijikusanya ukoo wenu wote mkachanga mali zenu hamuwezi kumfikia.
Hivi unaifahamu familia ya Mbowe au umekurupuka tu kama kawaida ya bk7 team,baba yake na Mbowe aliwahi mchangia Nyerere fedha kwa ajili ya harakti za uhuru leo hii unajiuliza katoa wapi fedha na kuanza kuungnaisha dots za kipumbavu.Do som research and stop yawning
unajua hoja za kukurupuka huwa hazina muda kwa mtoa hoja kuaibika fuatilia histolia ya tanganyika ndo utajua jina mbowe limeanza ujasiliamali lini bt kuwa makini sana na siasa unazo zifanya hasa za kukulupuka itakusaidiaMwenyekti wa kwanza wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei, alikuwa Gavana wa BoT.
Mwenyeti wa sasa wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, alikuwa mwajiriwa wa BoT.
Kabla ya kupata uenyeti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe, alimuoa mtoto wa Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA, Mzee Edwin Mtei.
Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA, amekiri kwa maandishi kuwa anamiliki mabilioni ya shilingi pesa tasilimu na mali zisizohamishika yenye thamani ya mabilioni ya shilingi.
Hesabu za kiasi cha kodi alicholipa Mh. Freeman Mbowe kwa miaka kumi iliyopita hakiendani na utajiri huo mkubwa alio nao.
Mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei, hupenda kujitambulisha kama mkulima. Hata hivyo, utajiri wake ni mkubwa sana kuliko kiasi cha uzalishaji wa shamba lake lililopo Tengeru, Arusha.
Mzee Mtei amekuwa akitumia pesa zake binafsi kuendesha shughuli zote za CHADEMA tangu ilipoanzishwa mpaka ilipofikia hatua ya kupata wabunge na ruzuku. Huu ni utajiri wa hali ya juu. Sio mbaya kuwa tajiri, lakini utajiri wa mtu ni lazima uendane na kiasi cha kodi anacholipa. Mtu akiwa tajiri sana lakini katika orodha ya walipa kodi haonekani, ni ishara ya ufisadi.
Ukwasi huu wa wanasiasa hawa wawili walioitumikia BoT na kuamua kuunganisha familia zao kwa njia ya ndoa ya binti wa mmoja wao unatokana na chanzo gani?
Je, kuunganisha familia hizi ni njia ya kuongeza uaminifu wa "ushirikiano" waliokuwa nao tangu BoT? Je, "ushirikiano" wao waliouanza BoT unaendelea ndani ya Chadema? Je, hii ndio sababu ya Mzee Mtei kulazimisha Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti na kukataza wagombea "who are from nowhere"?.
Je, biashara ya ukumbi wa muziki inamuwezesha mtu kumiliki mabilioni nje ya nchi? Kiingilio bilicanas ni shilingi ngapi kila mtu? Kwa siku wanaingia watu wangapi? Je, zinatosha kununua nyumba Uingereza, Marekani, Afrika Kusini na Dubai?
Its too early to go to bed, wake up. Connect the dots...