Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
kama ni busara Balozi wa Saudi Arabia awe muislam, na wa Vatican awe Mkristu.Sijui km kwetu ni hivyo.Hapa pia Busara ingetumika wakati katiba yetu ikijiandaa zaa katiba nyingine itakayoweza weka haya mambo sawa.Ila zanzibar kuna shida kubwa sana zilizochanganywa na kutafsiriwa km zimesababishwa na muungano.Kwa aliyepata muda wa kukaa na wazanzibar wa vijijini unaweza ona tofauti za mitazamo.Na utaona jinsi gani wanasiasa za zanzibar walivyoshindwa wajibika kwa watu wao, wameshindwa wajibika kwa mapungufu yao badala yake wameamua waangusha watu wao,wameamua kuwa wabinafsi na wamekuwa wanafiki kusingizia muungano ndio tatizo.Wakija bara wanazungumza vingine wakirudi kwao wanaongea kingine.Hawajajua kuwa wanajenga watu wagumu kuongozwa.Sidhani kuwa Zanzibr kupata mafuta kutazuia bara kuwa na dhahabu,almasi, uranium, chuma, gas na mafuta yenyewe as gas ipo juu ya mafuta.
Wazanibar wakicheza watajikuta wakijenga jamii ya kupinduana mfululizo.Its time kuwaambia watu wao wawe majasiri,nguvu wanazowekeza ktk kuvunja muungano waziwekeze ktk kuufaidi muungano fairly.Otherwise watajikuta makomandoo wanarudi tawala tena, kwa kuwadaganya wananchi wawatete ,kisingizio kikiwa km cha CUF kuwa wananchi wameamua chagua amani.Huku watu wengine wamekufa in vein.Hapa ama serikali au akina Maalim wangepaswa shtakiwa kwa yale mauaji.Ila kwa vile ndivyo watu wa zanzibar walivyojengwa mamabo yapo sawa.
TUTAKAPOFIKIA KUAMINIANA NA KUAMINIKA udini ,ukabila na ukanda utamezwa sana.Ila kwa mwendo huu tunayo kazi.