Ivi unaweza kulinganisha context ya lusinde (kwenye jukwaa la kisiasa)wakati wa kampeni na Katibu mkuu wa chama alipoulizwa akadefend na mawazo ya Mtei (sio kiongozi wa chama) tena akiwa nyumbani kwake??
:focus:
Ivi kawa wewe Ritz ni mrefu nikasema wewe ni mrefu natakiwa kuomba radhi sio?? Hebu geuzia upande wa pili wangekuwa ni kina john wamezidi kwenye hiyo tume si kila ijumaa kungekuwa na maandamano?? Humu si kungekuwa hakutoshi? Shukuruni mungu huu upande wa pili kuna ustaarabu na hata mteuzi najua ameliona hilo.
Nioneshe popote niliponukuliwa kusema unavyosema hapa.
Sijawahi kumjibu Mtei moja kwa moja hata siku moja. Kwenye suala hili msimamo wangu niliuweka wazi hat kabla Mtei Hajasema.
Walioandika wameunganisha tu tweets zangu na kauli ya Mtei ambayo siiungi mkono hata kidogo. Mzee was mistaken.
Tume ya Katiba imeteuliwa kwa mujibu wa sheria. Haina Udini. Ina wajumbe ninaowaheshimu sana. Twende tukatoe maoni. Tuache maneno yasiyo na maana yeyote.
Sasa mlivyokuwa mnalalamika CCM inawatukana kumbe ni Mwigulu na Lusinde yalikuwa mawazo yao binafsi.
Sasa mlivyokuwa mnalalamika CCM inawatukana kumbe ni Mwigulu na Lusinde yalikuwa mawazo yao binafsi.
Hiki ndicho alichokisema Mtei, tafakariIngawa waleta thread wote wametunyima nukuu sahii ya alichokisema Mzee Mtei ili tuweze kupima context (muktadha) wa kile ambacho mzee alikikusudia kama kila chembechembe ya udini wa la hasha.
Licha ya kwamba J.K. kajitahidi kuwa na vigogo kweli kweli, na Katiba ya sasa imezingatiwa ktk kuandaa m'badala wake, muundo wa hii Tume umedhihirisha kwamba demokrasia ya kweli ni ndoto kwa Watanzania wa leo. Kama tunanuia kwa dhati kuwa na Demokrasis ya kweli, itabidi Watanzania wanaoamini kwamba hilo ni muhimu, waendelee na juhudi za kuandaa hata Mabadiliko kwa Katiba Mpya ijayo.
Kwa mfano ni jambo la kichekesho kwamba Tanzania Bara ambayo ina Watu takriban 42 milioni iwakilishe na wajumbe sawa na Tanzania Zanzibar ambayo ina watu wasiozidi 1.5 milioni. Mfano wa pili ni kwamba, licha ya kwamba Tanzania siyo nchi inayozingatia dini katika maamuzi yake ya kisiasa, ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi. Nikihesabu Waislamu katika hii Tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote.
Hata kama ni lazima tujali Muungano wa Jamhuri yetu, hatuwezi kupuuza ukweli kuwa sasa kuna matatizo ya umilikaji wa raslimali maliasili (e.g. gas), na kuna wananchi wamediriki hata kwenda Umoja wa Mataifa kudai Zanzibar ijiondoe.
Haya ni mambo mazito na nimeona ni vema niyataje sasa, siyo tu yajadiliwe na Tume, bali ikiwa ni lazima, basi mjadala uendelee hata baada ya Tume kutoa taarifa na Bunge Maalum kupitisha Katiba Mpya.
Mkuu zito watu wanataka wakutumie kama daraja la mfarakano ndani ya chama chetu CDM hao wote ni magamba na bora umesema wewe Mzee Mtei was mistaken nakuunga mkono mia kwa mia. naona baada ya kujibu magamba wote wamekimbia kutafuta thread nyingine za uchochezi wameangukia puaNioneshe popote niliponukuliwa kusema unavyosema hapa.
Sijawahi kumjibu Mtei moja kwa moja hata siku moja. Kwenye suala hili msimamo wangu niliuweka wazi hat kabla Mtei Hajasema.
Walioandika wameunganisha tu tweets zangu na kauli ya Mtei ambayo siiungi mkono hata kidogo. Mzee was mistaken.
Tume ya Katiba imeteuliwa kwa mujibu wa sheria. Haina Udini. Ina wajumbe ninaowaheshimu sana. Twende tukatoe maoni. Tuache maneno yasiyo na maana yeyote.
Sidhani? CDM kufa kwa ajili ya mabishano ya Mtei na Zitto. Kwani kusema waislamu wengi ni Kosa? ni mawazo yake! tujiulize kwani Zanzibar wakristu ni wawili tu? ukiangalia Mkuu anapenda kubalance, mara dini mara jinsia. Mimi naudhani akiangalia utendaji hata wawe waislamu wote ama wakristu ili mradi wanabeba Maslahi ya nchi hii hamna shida. Kwani katiba ni Imani? Katiba ni makubalianao yanayotekelezeka na kuhakikiwa. Imani zetu za dini zinapangika lakini hazihakikiki. Unaweza kusema kwamba mtu akitenda mema anakwenda Akhera ama Mbinguni, ama anakwenda kuonana na Yesu na Bikira Maria, Je nani anaweza kuthibitisha kuwa utaonana nao. Lakini Katiba 2nahitaji watu watakaosema haka ka nchi na watu wao watawezaje kuishi kwa amani na kuheshimu sheria? Lakini ni lazima kuwa makini na chaguzi zinazoweza kuzaa mashaka.Zitto anaivuruga CDM, au chadema inamvuruga zitto?? Zitto anapanbana na maadui zake ndani ya chadema wasiotaka kuona chama kinatoka minoni mwa wenye malengo !! Mtoeni zitto ili chama chuenu kife ili tanzania iendelee kuwa na amani
Mbunge wa Kigoma Kaskazini-CDM amesema Mzee Edwin Mtei amefilisika kimawazo kwa kauli yake kwamba tume ya Katiba ina Waislam wengi kuliko wakristo.
Source:JAMBO LEO.
We mbona unajidharirisha mkuu!Zitto omba radhi
Hivi Zitto ni dini gani??? Tunajua ni Mwislamu. Kwa kawaida ya Waislamu ni watu wenye munkari,chuki,hasira na wasio wavumilivu. It is the same spirit of Islamic religion trying to defend its dominion.
Zitto ni kiongozi mwenye jazba za kipuuzi. Zitto ni Mropokaji na hana subira. Zitto ni mtaka sifa na kujikweza kuliko hata viongozi wake ndani ya Chama. Zitto ni Kafulila type,no difference.Kuropoka kwamba ati Mtei amefilisika kimawazo kwa mtazamo wake kuhusu Wajumbe wa Tume ya Katiba siyo sahihi. Hii ni DHARAU KUBWA SANA KWA MWASISI WA CHADEMA. Kuna haja ya kumfuatilia Zitto kwa karibu ili kujua kwanini huwa anapenda kutoa KAULI ZENYE UTATA NDANI YA CHAMA. Juzi tu tumesikia anadai kugombea Urais wa nchi hii mwaka 2015! Yawezekana kabisa Zitto anatumiwa na Chama Cha Magamba-CCM kutaka kuivuruga CHADEMA. Tulishasikia habari za yeye Zitto kuwa karibu sana na baadhi ya Vigogo wa Serikali akiwemo Rais Kiwete!
Kila mtu anakumbuka Zitto alipokataa kuunga mkono Walk out ya Wabunge wa CDM mwaka 2010 wakipinga kuburuzwa na CCM na Katiba mbovu ya nchi.Zitto ni wa ku-watch out. Huyu jamaa anaweza kukisambaratisha chama in future asipoangaliwa na kudhibitiwa. Tuanomba Mhe. Mbowe na Dr. Slaa wamemfuatile Zitto nyendo zake.Shame on him!
We mgeni chadema ZITTO ndiye aliyekijenga chama, hao wakina slaa ni wageni chadema,
Zitto ana haki ya kumkosoa MTEI kwa kukiharibu chama.
Zitto anapaswa kupongezwa kwa kukemea maovu katika chama bila kujali superiority ya mtu.
Jamani kwani katika sheria inayoongoza kwenye haya, kuna kipengele kinachobainisha idadi ya wajumbe na sifa zao? Kama nakumbuka vizuri issue ilikuwa kutoruhusu rais achague wajumbe kama anavyotaka yeye!!! Wakakubaliana na CDM rais apelekewe orodha inayojumuisha wajumbe watarajiwa kutoka katika makundi tofauti tofauti, lakini hakubanwa aangalie pia dini!!!
Hebu tusaidiane hapa...