Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

zito ndio kafilisika, ukweli utabaki kuwa ukweli, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake, so mtei kasema mawazo yake, na zitto angetoa mawazo yake, In reality there is no balance , Ili kuondoa tatizo hilo ingetakiwa 50% ya waislamu na 50% wakristo, kwenye mambo ya kidini huoni wanaweza kujipendelea na kusema tz ni nchi ya kiislaam, lakini ukichukua total population of Tanzania ambayo ni about 45million people, Waislamu hawafiki milioni ishirini
 
Wewe ndio umefilisika kimawazo!!
Huwezi kupata nusu Waislamu na Nusu Wakristo,
Halafu happhapo ukapata nusu Wazanzibar na Nusu Wabara!!
Ok, tufanye Zanzibar karibia wote wawe Waislam, halafu bara na Zanzibar inatoa idadi sawa ya member,
Je utateua Bara wote Wakristo kwakua ushapata nusu Waislam wa Zanzibar???
 
Hii siyo reliable source......but/lakini kwa Zitto Kabwe everything is possible, binafsi nimeshachoshwa na Headlines za Zitto Kabwe na ndio maana sina hata hapetite ya kuchangia thread hii.
Ngoja niende kwenye thread za Kanumba huku kwenye jukwaa la siasa hakuna jipya ni same blah blah tu.
Matola, mdogo wangu nakushauri jikite zaidi kwenye lugha yako ya kiswahili hapo kwenye blue ulikuwa unataka kuandika Appetite...hili neno matumuzi yake ni kwenye chakula tu...Hahaahaaa!!!:violin:
 
Hiki ndicho alichokisema Mtei, tafakari

Asante aliyeleta nukuu ya Mzee Mtei. Hawa ndio wazee tunaowahitaji ambao hawamungunyi maneno na experience being a good teacher anajua kuna maamuzi mengine yanakuwa influenced kwa misimamo ya imani zetu. Hakuna ubishi katika hili. Na hili kuondoa malalamiko ndio maana busara inatumika kuweka uwakilishi halali (fair representation) kwa dini zote. Kama Waisalmu watakataa hili ni kwanini zilipoundwa board ya parole na Waziri Mkuu wa wakati huo Sumaye zikawa na Wakristu webgi Waislamu walilalamika mpaka board inaundwa upya kukawa uwakilishi wa Waislamu? Sasa Mzee Mtei afadhali kalisema bila kumungunya maneno na ianwezekana akawa amesaidia ili tume ipate kumulikwa kwa karibu ili mambo ya kidini yasiyokuwa na maslahi kwa Taifa yasiingizwe hata mara moja katika mchakato mpaka kuandikwa kwa katiba mpya.

Hatuwezi kuppuza alichokisema Mzee Mtei na watu wanafikia hatua ya kusema kafilisika. Nafikiri wao ndio waliofilisika. Ukweli uko palepale hapa hakuna fair represenation haliitaji lilembeshwe ili lionekane ni zuri zaidi. Rais kateua kwa msimamo wake hatujui katumwa na nini. Wanawake ni wachache kwenye tume hii. Tukisema wengine watasema ubaguzi wa kijinsia? Kwa hiyo mzee Mtei alichosema kisibezwe bali kiwe ni changamoto ya kuiboresha tume.

Pili haiingii akili nchi sehemu yenye watu 1.5 millioni inakuwa na uwakilishi sawa na sehemu yenye watu 40milioni.Huu in usawa wa wapi? Tunaweza tukataka kufurahisha upande mmoja wa Muungano kwa sababu wana uwezo wa kulalamika na kusikilizwa lakini si haki hata kidogo. Ukweli uko palepale Zanzibar ni wengi na ndio maana wanachechekela maana kidini wamewakilishwa kwa upendeleo na kieneo usiseme.

Wengine jitokeze mtoe contructive views na msimbeze mzee wa watu.
 
zito ndio kafilisika, ukweli utabaki kuwa ukweli, kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake, so mtei kasema mawazo yake, na zitto angetoa mawazo yake, In reality there is no balance , Ili kuondoa tatizo hilo ingetakiwa 50% ya waislamu na 50% wakristo, kwenye mambo ya kidini huoni wanaweza kujipendelea na kusema tz ni nchi ya kiislaam, lakini ukichukua total population of Tanzania ambayo ni about 45million people, Waislamu hawafiki milioni ishirini

Another Mtei!!!!!!
 
its very true alichokisema Mzee Mtei si kitu fulani ungetegemea kukisikia kutoka kwa mtu mkongwe wa aina yake,..........on the other side si dhani kama ni kauli nzuri kwa Mh Zito kutamka kwamba mzee huyo kafiliska it is not very right!!!!!!!!!!!
 
mtei amefilisika!
 
Alichosema Mtei si sahihi akitaka awabadilishe wa Zanzibar wote wawe wakristo maana idadi ya bara na visiwani ni sawa, cha msingi tupime kazi yao kwanza ndipo tulalamike
 
Mtei tazama tu historia yake
alivyomzuia Bob Makani kugombea urais kisa yeye alipigwa chini
akajifanya tunaunga mkono mrema...
he is too old to say anything usefull...
aende zake
 
Kama hili ulilosema ni kweli, basi ni na wasiwasi kwamba jamaa anatumiwa ili kuonyesha kwamba chadema nacho kinamfarakaono ndani.

This boy, they need to be careful with him. Kama hayupo tayari kuwa na ushirikiano na chama, basi achukue kadi ya chama kingine.

Kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida, si kila mtu anaweza kukubaliana na kila kitu unachosema. Ila kwenda kutangaza publically kwamba unapinga, nikutaka kuonyesha nini?

Why won't he wait for party internal meetings.

Kama uraisi ndio unatafutwa hivyo, i doubt!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Siwezi changia habari ambo source yake ni Jambo Leo, habari leo, uhuru, mzalendo, daily news, tazama na yanayofanana na hayo!
 
Thubutu anatumika hadi siku yake ikifika watamwondoa tu..
 
Sasa mlivyokuwa mnalalamika CCM inawatukana kumbe ni Mwigulu na Lusinde yalikuwa mawazo yao binafsi.

dada yako faiza fox alienda wapi? asije kuwa kesha kata kamba, maana hapa JF, mtu anaweza kufa halafu wana bodi tusijue
 
neno alilotoa zito halina tafsida ila ni ukweli. ni elemnt za ubaguzi tu. napenda watu wapewe fursa ya kuonyesha uwezo wao si kuonewa tu.
 
Siwezi changia habari ambo source yake ni Jambo Leo, habari leo, uhuru, mzalendo, daily news, tazama na yanayofanana na hayo!

Ukweli hata mimi nilivyoona source ni jambo leo mashaka yakanijaa sana. Ninachojua na kuamini magamba wanateseka ni uimara wa chadema na jinsi kinavyowamaliza na hasa Arumeru. Wanaomba na wanatafuta kila njia utokee ugomvi cdm ili wakose mwelekeo kitu ambacho hakitokei
 
Habari ya kuuzia gazeti; Zitto keshakanusha leteni hoja nyingine; tume hii haikuundwa kujadili dini wengi wa wanatume ni wanasheria waliobobea kimsingi mh. Raisi aliwateua kwa vigezo vya upeo wao; sielewi labda mzee Mtei alitaka awemo ndani ya tume.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
mh tupo ili tuishi,au tunaishi ili ilituwepo?vingine havijifichi utakohoa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom