MTEGO wa DR.ULIMBOKA uko tayari...

ile video iliyowekwa humu inatoakila ilishaeleza kila kitu..so hata asipoongea alishaongea kabla hajaenda huko SA na kila mu anajua ukweli
 
tunashukuru kwa taarifa hii mim nashauri aombe press conference na vyombo vya kimataifa kama BBC,Na vngine na ataje wote waliohusika tuone kama mahakama itakohoa hapo!pia tunaomba arekodi mkanda mwingine aturushie huku.
 

Huu ni mtego wa serkali iliyochoka,serikali dhaifu inayoongozwa na Rais dhaifu,chama dhaifu na sera mbovu!

Mhe.Msigwa hivi karibuni wakti akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu alisema,ninanukuu,"Tatizo kubwa tulilo nalo kwa sasa kwenye nchi yetu ni kwamba,TUMERUHUSU AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA!(English:Small/foolish mind to lead intelligent mind!) Huu ni ukweli ulio wazi kabisa.

Kwamba kwa sasa serikali ya majuha(small mind)inaongoza Watanzania wenye akili zao timamu kwa kujaribu kuwarubuni na kuwalaghai kwa mitego ya kipumbavu ambayo hata mtoto wa std 1 anaweza kuing'amua. Watanzania tunajua kabisa kuwa KOVA AKISHIRIKIANA NA UWT WAMEPANGA KUTAFUTA KICHAA MMOJA NA KUMBANDIKA URAIA WA KENYA KWA MADAI KWAMBA YEYE NDIYE AMEHUSIKA NA KUMTEKA,KUMTESA NA KUHATARISHA MAISHA YA DR.ULIMBOKA! MARA TU BAADA YA KOVA KUUTANGAZIA UMMA KUWA WAMEMKAMATA MTUHUMIWA HUYO BASI AKATANGAZA RASMI KUWA MJADALA WA DR.ULIMBOKA UMEFUNGWA MAANA TAYARI SWALA LIKO MAHAKAMANI!

CCM NA SERIKALI YAO BADO WANAFIKIRI WA-TZ WA SASA NI WALE WA MIAKA YA KARNE YA 19! KWAMBA WANAWEZA KUDANGANYWA KWA PROPAGANDA ZA KIHUNI KAMA HIZI!CCM NA SERIKALI YAKE WAMESHAGEUZA KUWA MAHAKAMA NI KICHAKA CHA KUTAKA KUFICHA MADHAMBI YAO.KWAMBA WAKISHAONA JAMBO AMBALO LITWAUMBUA BASI WATAKIMBILIA MAHAKAMANI ILI KUWAZIBA WATU MIDOMO WASIENDELEE KUHOJI MAANA LIKO MAHAKAMANI!!!HUU NI UPUMBAVU NA UJINGA AMBAO LAZIMA UKOMESHWE MARA MOJA! OK,HATA KAMA NI KWELI KUWA SWALA LILILOKO MAHAKAMANI HALILITAKIWI KUJADILIWA,BASI IWE NI KWELI LIMEFUATA HATUA ZOTE ZA KISHERIA,KIUPELELEZI NA KUTIWA HATIANI KWA MTUHUMIWA/WATUHUMIWA. TUNACHOKIONA KWA SWALA LA DR. ULIMBOKA NI MCHEZO WA KUIGIZA! HAIWEZEKANI UKAMATE KICHAA/MWENDAWAZIMU HUKU UKIWAACHA WATUHUMIWA MUHIMU(SUSPECT NO.1)WALIOTAJWA NA DR.ULIMBOKA KUWA WALITOKEA IKULU.WA-TZ TUNAHOJI WAKO WAPI HAWA AFANDE KOVA???ARE THEY STILL AT LARGE????MTU ANAYEFANYA KAZI IKULU ATAKIMBILIA WAPI KAMA SIYO LONGOLONGO TU??

TUNASEMA HATUTAKI UONGO HUU WA MCHANA KWEUPE,MAYBE YOU NEED TO CHANGE YOUR TECHNIQUE CAUSE THIS ONE HAVE PROVED A TOTAL FAILURE!

 
VUTA-NKUVUTE Hebu tufafanulie kidogo mkuu, hapo Usalama wa Taifa wanahusika vipi?
Unataka ufafanuzi upi inamaanisha tangu sakata ili lianze huna taarifa na haujui nani alihusika kufanya unyama huo? kama usalama wa Taifa walifanya unyama huo pia ni hao hao watakao taka kufanya hayo yaliyoandikwa na mleta uzi
 
 
Ninshjauri aambiwe arekodi/aandike maelezo yake huko huko afrika ya kusini mbele ya wakil wa mahakama za huko. Na afanye press conference huko kabla ya kurudi nchini na vyombo vya huko ikiwamno BBC,b CNN, na Aljazeera! Inshaala mungu amponye haraka na amuwezeshe kufanya yote hayo!! N*wkilisha!! Pia kama yyupo mtu mwenye email ya ICC aiweke hum JF
 
ila tusishangae atakapokuja na kuomba suala lake lisizungumziwe.

bongo fitna nyingi hawachelewi kwenda kumnyamazishia huko huko.

Lakini ninamuombea ujasiri kutoka kwa Mwenyezi Mungu aje afunguke na Wovu wake waaibike.
 
Ulimboka hajafungua kesi mahakamani bado sasa kwa nini azuiliwe kuongea ikiwa kesi iliyokuwepo mahakamni ni kwa ajili ya mkenya mwenyewe kuhusika kuteka. Jamani huu msemo wa kila kitu kipo mahakamani kwenye katiba itolewe kwani inaudhi sana, na inahusika kwa wananchi tu na si kwa serikali
 
ikitokea bahati mbaya hii nchi imevurugika naamini mahakama itakuwa imehusika kwa angalau % 70.sababu watu wakikosa pakukimbilia watafanya wanavyojua hili limetokea sehemu nyingi duniani.nawasilisha.
 
ila tusishangae atakapokuja na kuomba suala lake lisizungumziwe.

bongo fitna nyingi hawachelewi kwenda kumnyamazishia huko huko.

Lakini ninamuombea ujasiri kutoka kwa Mwenyezi Mungu aje afunguke na Wovu wake waaibike.
kuna taarifa zisizo rasmi zinasema kwamba amehasiwa kipindi cha kuteswa.sasa kama ameshahasiwa kutakuwa na faida gani ya kuficha ukweli wakati kimsingi ni kama hana tena kitu cha kupoteza.akinyamazishwa tunamuombea dua apasuliwe tena na afe kabisa.mungu azidi kumpa afya ili tuone mwisho wa hii senema.
 
ukimuona mtu ana tatizo jichoni,puani,sikioni,mdomoni,kichwani,ulimini na popote penye kiungo kinachotawala mfumo wa utambuzi na hisia za binaadamu basi ujue huyo hayuko sawa kwa % zote.sasa kwa maelezo hayo hujaona kasoro yeyote kwenye kiungo chochote cha kova,nawasilisha.
 

Ni kosa kuihusisha serikali na TISS katika kadhia hii. Waliomtenda Dr Ulimboka hawajulikani na hata wakijulikana bado hakuna ushahidi kuwa walitumwa na serikali au TISS. Mi naona tuache kuineza chuki kwa manufaa ya kisiasa.
 
very easy halafu tutaiweka kwenye you tube pazuri hapo:flypig:
 


100% possible and agreed!
Hawa Jamaa wa Govt wanatapatapa kujilinda, na kamwe hawawezi kuachia ule uongo wa Kova uwe dis-proved kwa jinsi yoyote ile!!

My Take:
Kamanda Ulumboka angeaza kulipua akiwa huko huko, aitishe International Media press, zimejaa kila mahali, BBC, DW, Reuters etc...!
 
mh... em ngoja kidogo.... we si ndo yule uliyeleta ule uzi wa TISS kama babu wa Loliondo part I na II...!!??? Vipi GT hawajakuelewa sasa umeamua kuja kivingine...
Mbona umeupdate za kamanda Uli wakati watu tunazungumzia meli iliyozama ssaivi....arghh!!!??? subiri basi kwanza liishe hili si ulisema wabongo tu wepesi wa kusahau, kilaza kama mimi nshasahau ya Uli, nshamezeshwa ya meli tu hapa ndo yanayonsumbua bongolala langu. Hawa TISS wako kama mashetani niacheni niomboleze mi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…