Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

Nasikia gambo anaongoza kamuacha kwa mbali sana lema jimbo limeenda ccm
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuchekelea hii hali maana tunajua akili za CCM zilivyo nchi watajimilikisha rasmi...na najua rasmi Tanzania yetu itaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe maana pataibuka vikundi vya waasi.
 
Sasa jamani, kwenye kampeni walikuwa wanahubiri jinsi ya kutufanya mashoga, kutukana, kutuweka rehani kwa mabeberu bila kusema chochote juu ya mahitaji yetu na maendeleo ya nchi, hivi mlitegemea kura zetu tuziharibu kwa kuwapigia wao? Ndo wajifunze!
 
Ni kweli kwa miaka mitano mbele mbona tutazeeka kabla ya wakati wetu mi nawasubiri wale wa ccm mbele kwa mbele ole nisikie mtu analalamika hana hela ni mitusi tu kwa kwenda mbele
Kwani ukumchagua Tundu Lisu bila kufanya kazi kwa juhudi utapata pesa? Tatizo lenu mnadhani hao watu wenuwa chadema wana uchungu sana na nyie? Ni wachumia tumbo tu
 
Sasa jamani, kwenye kampeni walikuwa wanahubiri jinsi ya kutufanya mashoga, kutukana, kutuweka rehani kwa mabeberu bila kusema chochote juu ya mahitaji yetu na maendeleo ya nchi, hivi mlitegemea kura zetu tuziharibu kwa kuwapigia wao? Ndo wajifunze!
Subiria tu mkuu kesi za kupinga matokeo,wapinzani wengi NEC haijawatendea haki mawakala wao.
 
Kama umefatilia vizuri, nidhahiri nia ya chama tawala ni kuchukua viti vyote vya ubunge nchini.

Fatilia uzuiaji wa mikutano kwa Wapinzani kwa miaka mitano, vyombo vya habari kufungwa midomo na kuanza kus-support chama tawala, kauli za utata za NEC, wakurugenzi kupigwa mkwara endapo watatangaza wapinzani na ilihali yeye kawateua, kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi kupingwa chini, vioja vya kusimamishwa na NEC, polisi kuvuruga mikutano ya upinzani bila kusahau matukio ya leo ya kura.

Usisahau kuna wabunge 28 wamepita bila kupingwa tayari.

Hofu yangu kuna uwezekano kipindi hiki wabunge wa upinzani wasifike hata kumi kama sio watano, ngoja tuone mchezo.
Kwahiyo umefurahi wabunge wa upinzani kutokuwepo bungeni?
 
Nasikia majimbo yote ccm inaongoza,
Usihangaishe sana nafsi yako Mkuu, mambo hufanywa kwa makusudio maalum "Katiba inakwenda kubadilishwa na sheria mpya zinakuja!"
Usishangae tukawa na "movement" kama ya m7!!
Nawaza tu...
Natazama naona jamaa akikaa madarakani kwa miaka 30 ole wao wale wote wanaoshangilia hii dhuluma wakidhani wako salama
 
Nasikia majimbo yote ccm inaongoza,
Natazama naona jamaa akikaa madarakani kwa miaka 30 ole wao wale wote wanaoshangilia hii dhuluma wakidhani wako salama
Hata akae Miaka 40
Kikubwa maendeleo na Nchi ipo kwa Mtu makini sio Mamluki wa Mabeberu
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuchekelea hii hali maana tunajua akili za CCM zilivyo nchi watajimilikisha rasmi...na najua rasmi Tanzania yetu itaingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe maana pataibuka vikundi vya waasi.
Utaviibua wewe Hivyo Vikundi au
 
Back
Top Bottom