Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

Mkitaka wakateni wote mbaki ccm tupu bungeni mbona rahisi tu
Bora warejeshe mfumo wa chama kimoja tujue moja kuliko kupoteza pesa nyingi kufanya kampeni kisha CCM kubaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetani
 
Wananchi wameichagua chadema lakini NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanaitangaza CCM kwa njia haramu za kishetani, hakukuwa na haja ya kufanya uchaguzi ni kupoteza pesa bure, sasa CCM inaenda ikulu pasipo ridhaa ya wapiga kura bali kwa uchakachuaji wizi wa kura

Ipo siku maana hakuna lililo na mwanzo likakosa mwisho
 
Kama umefatilia vizuri, nidhahiri nia ya chama tawala ni kuchukua viti vyote vya ubunge nchini.

Fatilia uzuiaji wa mikutano kwa Wapinzani kwa miaka mitano, vyombo vya habari kufungwa midomo na kuanza kus-support chama tawala, kauli za utata za NEC, wakurugenzi kupigwa mkwara endapo watatangaza wapinzani na ilihali yeye kawateua, kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi kupingwa chini, vioja vya kusimamishwa na NEC, polisi kuvuruga mikutano ya upinzani bila kusahau matukio ya leo ya kura.

Usisahau kuna wabunge 28 wamepita bila kupingwa tayari.

Hofu yangu kuna uwezekano kipindi hiki wabunge wa upinzani wasifike hata kumi kama sio watano, ngoja tuone mchezo.
Usihangaishe sana nafsi yako Mkuu, mambo hufanywa kwa makusudio maalum "Katiba inakwenda kubadilishwa na sheria mpya zinakuja!"
Usishangae tukawa na "movement" kama ya m7!!
Nawaza tu...
 
Na mimi simzungumzii Lowassa. Namzungumzia Mange aliyemchafua Lowassa wakati wa kampeni za 2015. Wewe vipi?
Hatuzungumzii Lowasa hapa ila namna wananchi bongo zao zimelala kiasi kwamba hata wanaowatetea wanakata tamaa
 
Ikulu inaenda kukaliwa na mtu asiye na baraka ridhaa za wapiga kura, manyanyaso mateso uonevu kubambikiwa kesi kupigwa risasi, wafanyabiashara kubambikiwa kodi TRA, unyanyasaji uovu kuendelea kama awamu iliyopita

Tuyakabidhi haya kwa mola. Pengine amchukue mapema iwezekanavyo
 
Lengo limefanikiwa kuwa na bunge la chama kimoja
 
Mimi nimepata Faraja ya moyo kumpigia kura Tundu Lisu, hata wakiiba, ukweli nafsini mwangu utabaki palepale kwamba, sikumchagua mshamba na dikiteta uchwara.
Kwa huo ushamba, na u dikteta uchwara tumemchagua kwa kishindo. Ninyi pamoja na ujanja wenu mmepata nini sasa, ujanja mwingi mbele giza totoro. Saccos kwisha kabisa.
 
Mungu hujibu maombi kwa viwango. Kama alitutendea tulipo omba kwenye Corona ndio itakuwa uchaguzi?. Watanzania wazalendo ni furaha isiyo kifani.

Kwa hiyo itabidi tufunge na kuomba tena au
 
Back
Top Bottom