Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

Watanzania tumenyimwa utajiri hadi akili za kuchanganua kipi kizuri kipi kibaya ngoja tusongeshe siku zisogee tu
 
Tulisema hapa toka mwanzo kwamba chadema itaambulia wabunge 10 tu
Wananchi wameichagua chadema lakini NECCCM Tumeccm na Polisiccm wanaitangaza CCM kwa njia haramu za kishetani, hakukuwa na haja ya kufanya uchaguzi ni kupoteza pesa bure, sasa CCM inaenda ikulu pasipo ridhaa ya wapiga kura bali kwa uchakachuaji wizi wa kura
 
Ikitokea wakafanya hivyo ni sawa tu,hakuna namna mkuu.
Lakini no tutaisoma wote,maana bila upinzani madhubuti hakuna Wa kumkemea mwenzake,usihofu maisha yataendelea tu.

Msumeno unakata kotekote labda wanufaika wachache ndio wataendeleza kiherehere
 
Ila alisema upinzani wajipange 2025 safari hii kushinda ni ngumu haswa
 
Kama umefatilia vizuri, nidhahiri nia ya chama tawala ni kuchukua viti vyote vya ubunge nchini.

Fatilia uzuiaji wa mikutano kwa Wapinzani kwa miaka mitano, vyombo vya habari kufungwa midomo na kuanza kus-support chama tawala, kauli za utata za NEC, wakurugenzi kupigwa mkwara endapo watatangaza wapinzani na ilihali yeye kawateua, kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi kupingwa chini, vioja vya kusimamishwa na NEC, polisi kuvuruga mikutano ya upinzani bila kusahau matukio ya leo ya kura.

Usisahau kuna wabunge 28 wamepita bila kupingwa tayari.

Hofu yangu kuna uwezekano kipindi hiki wabunge wa upinzani wasifike hata kumi kama sio watano, ngoja tuone mchezo.
Labda wanataka tuwe uchumi wa juu
 
Ni kweli mi nawatizama tu hapa ndani na ccm yao naona wanafurahi tu na meno yapo nje nje
 
Pinga pinga kila kitu ya wapinzani imewakosti sana. Ule ulikuwa ni mkakati usiozaa matunda. Wajifunze sasa kuwa na siasa zenye tija la sivyo wataendelea kupukutika.

Sio kweli, jiwe ndivyo alivyo hata kama wangefanyake isingesaidia labda namna pekee ni kuunga mkono juhudi
 
Ikulu inaenda kukaliwa na mtu asiye na baraka ridhaa za wapiga kura, manyanyaso mateso uonevu kubambikiwa kesi kupigwa risasi, wafanyabiashara kubambikiwa kodi TRA, unyanyasaji uovu kuendelea kama awamu iliyopita
 
Ni kweli kwa miaka mitano mbele mbona tutazeeka kabla ya wakati wetu mi nawasubiri wale wa ccm mbele kwa mbele ole nisikie mtu analalamika hana hela ni mitusi tu kwa kwenda mbele

Kama sio mnufaika kama watendaji wake tuko nae kundu moja la kuisoma namba tu
 
Mungu hujibu maombi kwa viwango. Kama alitutendea tulipo omba kwenye Corona ndio itakuwa uchaguzi?. Watanzania wazalendo ni furaha isiyo kifani.
 
Back
Top Bottom