Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

..UV-CCM mnatakiwa muandamane kulaani walichokifanya mabalozi.

..wameingilia uhuru wa vyombo vya dola na mahakama zetu kwa kumuondosha mtuhumiwa anayetakiwa mahakamani.
Yaani hawa mabeberu hawajui sisi ni nchi huru!!
 
Vigezo ni usome kuongezea kinachokosekana na anaweza. Hivyo bado kabisa kusema eti hawezi kuwa lecturer. Pia ziko kazi nyingi anaweza kufanya pia tena UN. He is intelligent and capable
Huwezi soma sheria Tanzania ukafanya kazi ulaya kwa sheria hiyo. sheria ya Tanzania siyo applicable ulaya ni mpaka arudi darasani tena kukubalika ulaya.
 
Mkuu mbowe kaanza kushika hela kabla kizazi cha tatu nyuma huko kwenu hamjajua kusoma na kuandika. Usimchukulie poa.
Wabongo bhana wana maneno hawajui mbowe ana biashara zake nyingi na ma assets kibao kama kumbi za starehe, hotels , wabongo wengi sio watafiti ni waropokaji😂😂
 
Huwezi soma sheria Tanzania ukafanya kazi ulaya kwa sheria hiyo. sheria ya Tanzania siyo applicable ulaya ni mpaka arudi darasani tena kukubalika ulaya.
Na ni lazima ajifunze lugha kwanza (kama ni ubelgiji), siyo ulaya yote wanashobokea Kiingereza kama huku kwetu tulivyo.
 
Hawa viongozi wa upinzani walishaweka mazingira ya kwenda kuishi nje ya Tanzania baada ya Uchaguzi, hivyo singazwi na propaganda zao za kutishiwa maisha! Lengo likiwa ni kutuaminisha Watanzania kuwa wanatishiwa kweli!
 
Na ni lazima ajifunze lugha kwanza (kama ni ubelgiji), siyo ulaya yote wanashobokea Kiingereza kama huku kwetu tulivyo.
Nchi mbili tu ulaya unaweza ku operate kwa kiingereza nazo ni UK na Ireland republic. Nchi zingine zote lazima ujifunze lugha zao kwa ubelgiji ama kifaransa ama flemish.
 
Nchi mbili tu ulaya unaweza ku operate kwa kiingereza nazo ni UK na Ireland republic. Nchi zingine zote lazima ujifunze lugha zao kwa ubelgiji ama kifaransa ama flemish.
Hapo sasa. Na huko ubelgiji wakongomeni kibao wamesoma tena kuzidi huyo kamanda na wapo wanazagaa tu.
 
Asome nini Tundu Lisu yuko over 50 ? Hata akianza leo atamaliza labda tayari anakaribia au keshagonga 60, hiyo kazi atakupa nani wakati kuna vijana wanaingia labor market wako late 20' s au early 30' s? Hata huko UN siyo rahisi hivyo kama mnavyofikiria ingekuwa hivyo angeshapata tayari zamani sana tu, huyo kaenda kuomba ukimbizi ina maana atakuwa anaishi kutegemea hela ya Serikali ya hiyo nchi, ...
Kilaza ndiyo anasoma miaka 10 PhD au kukutana na figusi za Supervisors wa Tanzania. Nilisoma nchi moja kati ya Scandinavian kwa Miaka 4 kasoro nikarudi Tz niliowaacha tumeanza wote PhD bado tu Thesis haziishi. Kuna waliotumia almost 10 yrs hasa wa Uchumi. The World is not fair and worse in Tanzania.

Hivyo what is 50s for a PhD? Tena his age na uzoefu wa Lissu ataimaliza PHD kwa 3 yrs. Kilaza tu ndiyo anaogopa umri. Enzi zetu tulisoma na watu wa umri mkubwa tu na wakafaulu. Sembuse Lissu?
 
Huwezi soma sheria Tanzania ukafanya kazi ulaya kwa sheria hiyo. sheria ya Tanzania siyo applicable ulaya ni mpaka arudi darasani tena kukubalika ulaya.
Yes ndiyo maana nimesema atasoma kinachokosekana au asomee kingine siyo lazima aendelee na sheria. Na after all hakuna anayejua kazi ambayo atafanya kwa sasa kisiasa. I tell you the guy will be extremely busy busy na mapambano kwa Njia nyingine. Lissu ni super talented kwenye issues za ukombozi. Ni kipaji chake toka akiwa anasoma lower classes mpaka uppers.
 
Aahhhh wapi? Kwao Mbowe alizaliwa akakuta kwao wanapikia chai noti. Wana utajiri wa kutosha. Wana assets mpaka nje ya nchi. Hivi unamlinganisha Mbowe na nani ako vile?

mnamalizaga maneno kama hivi,mwisho wa picha mnabadili cd kama yeye dj.
 
Huyu Lema hata shule hana,America au Ulaya atafanya kazi gani ?Ataweza kuosha vyombo Mac Donald au kufanya kazi supermarket ya kupanga bidhaa ?
 
Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.

Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.

Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.

Muda utaongea.
Watu mmejaa ujinga mwingi sana juu ya huu upinzani usio na tija,na yamkini mnao andika hapa mkawa ndiyo ninyi wenyewe wachumia tumbo mnajaribu kuchukua mawazo ya wananchi kujua tunakufikirieni nini.

Tambueni kwamba wainzani wa nchi hii ndiyo tumewagundua mnataka kutuuza kwa wazungu,yaani lengo lenu ni kitufanyia biashara..wanakimbia kweni wana shida gani hapa nchini na amani hii iliyopo?

Wao wanachotafuta ni sifa tu zisizo na maana yoyote
 
Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini Kenya inatosha kumhakikishia usalama wake.

Hivyo ,ninaamini Tundu Lissu akiwa nchini Ubelgiji, anaweza kufanya mipango/kushawishi nchi za ulaya hasa Ubelgiji atakokuwa anaishi, kuhakiisha Lema na familia yake wanahama nchini Kenya na kwenda kupata hifadhi katika mojawapo ya nchi za Ulaya,Marekani au katika nchi nyingine tofauti na Kenya ambapo anaweza kukaa kwa muda tu.

Ni imani yangu pia Lissu atafanikisha mambo mengi ya kusaidia wapinzani wenzake pamoja na vyama vya upinzani akiwa huko ughaibuni-anakwenda kuanzisha movement za kusaidia mabadiliko akiwa huko Ulaya pasipo kuvunja au kukiuka mashariti ya kupewa hifadhi katika nchi za watu.

Muda utaongea.
Safi kabisa hata Mbowe ikiwezekana aondoke maana usalama wake ni muhimu kuliko pesa
 
Safi kabisa hata Mbowe ikiwezekana aondoke maana usalama wake ni muhimu kuliko pesa
Hamna mtanzania hata mmoja aliyemsindikiza isipokuwa mabeberu?

Sawa atakuwa rais wa Ujerumani ,Ubelgiji na Marekani
 
Huyu Lema hata shule hana,America au Ulaya atafanya kazi gani ?Ataweza kuosha vyombo Mac Donald au kufanya kazi supermarket ya kupanga bidhaa ?
We mpuuzi kweli wewe na shule yako unafanya nini? sifa za kijinga kabisa eti shule bado una mawazo ya kizamani sn. Mtu huna hata bajaji pamoja na shule yako, watu wanataka pesa na siyo huo ujinga wa shule, hayo makaratasi yako siku ukifa yanaishia hapo hapo kaburini, Lema ana maghorofa watoto watarithi, hivyo vyeti vyako watoto wako watarithi? shame on you na shule yako
 
Back
Top Bottom