Mtazamo: Mtoto wa dada na wengineo wengi wajiandae kwenda jela miaka ijayo panapo majaliwa

Hopeless case
 
Naweza nisiwe na uhakika na mengi lakini uhakika nilio nao ni kuwa baadhi ya wateule wa awamu hii, tena wale watoto wapendwa, muda ukifika lazima waionje jela.
Na wakati huo ukifika,bwana yule atakuwa anatazama tu kwenye tv wanavyopandishwa kwenye karandinga huku hana la kufanya.
 
Lazima yamkute kama ya masamaki wa makontena,itakapoingia awamu ya kupambana na ufisadi kwa vitendo,yeye ndo ujua fedha zetu zimetumika vipi. Hela zetu zimekuwa sawa na hela za familia
 
Hakuna mtu aliyeko karibu na rais anaweza pata shida tz,labda Rais husika aamue kukaa kimya tu

God first
 


Kuna watu ni wa kuwaonea huruma sawa na mifugo inenepeswayo ili ije kuchinywa mbeleni. Awamu hii ya ufisadi ni wengi wataozea jela siku mbuyu ukiondoka, matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma,upotevu wa watu na hatua kutokuchukuliwa,wasiojulikana jela zinawahusu wajiandae. Dunia inaendeshwa na kanuni ukizikiuka lzm zikuadhibu.Kila mmoja uvuna apandacho.
 
Naweza nisiwe na uhakika na mengi lakini uhakika nilio nao ni kuwa baadhi ya wateule wa awamu hii, tena wale watoto wapendwa, muda ukifika lazima waionje jela.

Tunza maneno ya Child Benz lzm yatimie.wamenyimwa MAARIFA ili waangamie
 
Katibu mkuu wizara ya fedha ndugu Doto pombe siyo mtoto wa Dada yake magufuli bali ni mtoto wake live ingawa alizaa huko nje, kwa hiyo Doto na magufuli ni DNA moja ni mtu na mwanae wa Damu wameshika wizara nyeti wamenunua ndege kienyeji kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge na sasa kwa kuogopa ukaguzi wa mahesabu wamemuundia Zengwe CAG akimbie mwenyewe wapate kupona kujulikana juu ya ufisadi wao.
 
Hii ni alinacha! Hili haliwezitokea kwenye nchi ambayo barabara ya rami inajengwa kuelekea kwa rais mstaafu eti kwa sababu alikuteua kuwa waziri na kukupigia debe kuwa rais!!! Labda kama CCM itatoka madarakani!

2020 ulaya na America hawaitaki CCM wanataka ing’oke ingawa China ni mshirika mkubwa wa CCM
 
Hii habari kama ni ya kweli,uchumi wa nchi upo rehani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…